Baadhi ya washindi wa tuzo za GRAMMY AWARDS kwa zile category muhimu

Wata display illuminat symbolism kwenye hiyo show hadi watazamaji wakome
kama ilivyo desturi yao...
daahh nilicheck ile video ya Justin Timberlake surprise.. daahh nilichoka kabisaaaaaaa
 
Jay z apumzike sasa..afanye business zake akiendelea atakua anapigwa mieleka
awaachie akina drake wapambane na huyu kendric sasa
Kuna mtu nlmuambia juzi Jay Z Licha ya kutajwa Mara nane zaidi ya Kendrick,, lkn hakuwa na uwezo wa kumzd Lamar,,, Lamar kamsuprise htr
 
Jay-Z angefunga mdomo juu ya Trump jana juzi labda angeambulia kitu.. sielewi y akose hata moja ya kufutia machozi.. duh!!!
 
Walichofanya Si Sawa Wamemnyima Shemeji Ata Moja Kati ya Hizo Nane Si Vyema.
 
Jay-Z angefunga mdomo juu ya Trump jana juzi labda angeambulia kitu.. sielewi y akose hata moja ya kufutia machozi.. duh!!!

Tukienda moja moja kati ya alizokuwa nominated Jay Z
1. Album Of The Year:
Bruno Mars - 24K Magic (winner)
Childish Gambino - Awaken, My Love!
Jay Z - 4:44
Kendrick Lamar - Damn
Lorde - Melodrama

4:44 isingechukua mbele ya DAMN; kwangu naona alikosa halali.

2. Record Of The Year:
Bruno Mars - 24K Magic (winner)
Childish Gambino - Redbone
Luis Fonsi - Despacito
Jay Z - The Story of OJ
Kendrick Lamar - Humble

Despacito, Humble zote ni moto kwa Story of OJ; hapa pia ni halali kwa mtazamo wangu.

3. Song Of The Year:
Bruno Mars - That's What I Like (winner)
Luis Fonsi & Daddy Yankee Featuring Justin Bieber - Despacito
Jay Z - 4:44
Julia Michael - Issues
Logic ft Alessia Cara and Khalid - 1-800-273-8255

Hapa Despacito yupo tena, sijasikia hizo nyimbo za wengine, ila That's What I Like ni moto sana kwa 4:44.

4. Best rap album:
Kendrick Lamar - Damn (winner)
Jay Z - 4:44
Migos - Culture
Rapsody - Laila's Wisdom
Tyler, The Creator - Flower Boy

Sina cha kuongeza, tuzo kwenda kwa K Dot, na hivi Culture kwa generation hii bado ni zaidi ya 4:44, labda kwa sisi wa old schools.

5. Best Rap Performance:
Kendrick Lamar - Humble (winner)
Big Sean - Bounce Back
Cardi B - Bodak Yellow
Jay Z - 4:44
Migos feat Lil Uzi Vert - Bad And Boujee

Nahisi hapa Jay Z atakuwa kawa wa mwisho kabisa kwenye hii category.

6. Best Rap/Sung Performance:
Kendrick Lamar feat Rihanna - Loyalty (winner)
6LACK - PRBLMS
Goldlink Featuring Brent Faiyaz & Shy Glizzy - Crew
Jay Z feat Beyoncé - Family Feud
SZA feat Travis Scott - Love Galore

Popote ambapo K Dot kamshinda Jay Z, hakuhitaji ubishi.

7. Best Rap Song:
Kendrick Lamar - Humble (winner)
Cardi B - Bodak Yellow
Danger Mouse feat Run The Jewels and Big Boi - Chase Me
Rapsody - Sassy
Jay Z - The Story Of O.J.

Hapa tena no ubishi, nimemwonea huruma sana Cardi B kuwekwa kwenye hizi categories ambazo K Dot yumo. Kwa nini wasiweke Men na Women tofauti?

8. Best Music Video:
Kendrick Lamar - Humble (winner)
Beck - Up All Night
Jain - Makeba
Jay Z - The Story Of O.J.
Logic Featuring Alessia Cara & Khalid - 1-800-273-8255

Hapa pia sidhani kama kuna cha kujadili.

Yeyote anayedhani Jay Z alistahili tuzo aseme ni tuzo ipi angepewa.
 
Best rap album of the year na album of the yeat zile kanyimwa wazwaz
 
Family feud ilistahili 100 percent bonge la meseji sana sana
 
Yeyote anayedhani Jay Z alistahili tuzo aseme ni tuzo ipi angepewa.
Jay z kawekwa tu kwa heshima ya u legend but kwenye kuchukua tuzo mm sikufikiria kabisa kama ataokota hata moja esp kwenye album yake ilikuwa too personal sana wala haina social impact yoyote maybe nyimbo ya the story of Oj hata yeye alijua hivyo hawez chomoka kwa King Kunta napenda sana nisikie his opinion about this
..
 
I share the same opinions man.
 
4:44 ni classics album imeeleza maisha harisi kabsa they alvohustle, hasa story of oj akiwahimiza vijana wa kimarekani hasa weusi wawekezi kwenye mijengo tofauti na kula bata,,, ni album ya kiutuuzma zaidi,,, ukzungumzia DAMN hyo habar nyngne kbsa,,, album imeenda double platinum na kuwa certified na RIAA,,, so Kendrick Lamar kumgalagaza Hovva Ilkuwa given kabsa,,, DAMN album haufoward ngoma hata moja
 
Hiyo ngoma naielewa sana hasa pale anasema
"Financial freedom is my only hope/
https://jamii.app/JFUserGuide living rich and am dying broke/"
 
Back
Top Bottom