GE2025 Baadhi ya wasanii wa Maigizo wamewatoa hofu wananchi ili wajitokeze kwa wingi katika vituo vya kupigia kura oktoba 29

GE2025 Baadhi ya wasanii wa Maigizo wamewatoa hofu wananchi ili wajitokeze kwa wingi katika vituo vya kupigia kura oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Wakizungumza kwa nyakati tofauti leo Oktoba 24, 2025 baadhi ya wasanii wa Maigizo wamewatoa hofu wananchi ili wajitokeze kwa wingi katika vituo vya kupigia kura kwa kuwa Serikali imejipanga na kuwahakikishia wananchi hali ya amani na utulivu katika kipindi hiki cha Uchaguzi. Wamesema, tarehe 29 Oktoba ni siku muhimu kwa kuwa ni fursa pekee ya kuchagua Viongozi wanaowataka.

Soma pia: Muliro: Oktoba 29 mkajitokeze kupiga kura bila Hofu

 
Back
Top Bottom