Baadhi ya wanawake wa mjini hasa hawa wasio na kazi wanaendekeza sana njaa!

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,807
12,676
Habari ya mchana,

Moja kwa moja kwenye mada ,wanaume wenzangu kumekua na katabia ambacho kanaenda kua sugu kwa hawa wadada wa mjini. Unakuta anaenda kituo cha afya kisha anaomba andikiwe majibu ya uongo kuonesha mjamzito ili akamdanganye mpenzi wake,kwa lengo la kupata pesa maana yeye atalenga mambo mawili.

1. Jamaa mimba aikatae kisha aseme tukatoe na mshikajia toe hela ili demu akazipige au
2. Jamaa akiikubali basi baada ya wiki kadhaa asingizie mimba imeharibika anatakiwa asafishwe hivyo jamaa kama kawaida akamuliwe hela za kusafisha.

Ukweli hii tabia imekua sana kipindi hiki pale kituoni kwetu haipiti wiki au wiki mbili kabla hawajaja watu wa namna hiyo,uzuri huwa nawatimua maana naona wanaenda kuumiza mwanaume kama mimi anayetafuta pesa kama mimi.

Hivyo wanaume tuwe makini demu wako anapokuletea ishu kua ana mimba mchukue nenda pharmacy nunua kipimo pima uhakikishe na kama uwezi nenda mwenyewe hospital mkiwa wote na usimpe chance ya kukaa na muhudumu wa afya pekee yake ili wasifanye uhuni maana hiyo ndo staili mpya ya kutupiga sisi wanaume.
 
Mjini pagumu Kama huna akili
Ha ha ha Looh kumbe Siku hizi kupata fedha kwa ulaghai ndicho kipimo Cha AKILI humu Mijini?

Niendelee tu Kusukuma GUTA langu Buguruni Sokoni.

Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Nguvu za kubeba Mizigo na Kusukuma Toroli ili kupata riziki ya jasho halali kulisha vitoto vyangu,alhamdulillah.

Sitaki utajiri na sitokuwa tajiri duniani labda mbinguni kama kupo.

Jah Bless
 
Ha ha ha Looh kumbe Siku hizi kupata fedha kwa ulaghai ndiko kipimo Cha AKILI humu Mijini?!!

Niendelee tu Kusukuma GUTA langu Buguruni Sokoni...

Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Nguvu za kubeba Mizigo na Kusukuma Toroli ili kupata riziki ya jasho halali kulisha vitoto vyangu,alhamdulillah..

Sitaki utajiri na sitokuwa tajiri duniani labda mbinguni kama kupo...

Jah Bless
Umeandika yaliyo akilini mwako mimi ni nani nipinge
 
We una njaa ya papa na mwenzako ana njaa ya hela, na mshibishane tuu, ukiona pesa ya maana itege upige bao
 
Back
Top Bottom