Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 117
- 387
Baadhi ya wanawake wa kingoni nahisi wana umeme mdogo kichwani sio kwa ubaya ni katika kujenga.
Ukioa binti wa kingoni changamoto sana ni malimbukeni na wanatamaa ya vitu vidogo, kuna mmoja hapa katoweka ghafla kwa mume wake bila taarifa yeyote. baada ya mume kufuatilia kiundani kumbe mwanamke kaolewa na bwana mwingine.
Mume kaenda ukweni kueleza kuwa mke wake katoweka bila mawasiliano yeyote, kumbe wazazi wame muozesha binti yao kwa mwanaume mwingine bila kufuata utaratibu wa talaka na kadhalika.
Chanzo kwamba huyu bwana hakumalizia mahali hivyo kuna bwana katokea na kutoa mahali yote na kachukua jiko.
Ndugu zangu wanaume msioe kwa mahali nusu kwa kuahidi kumalizia baada ya muda fulani utafedheheka na kudharirika.