No mahusiano muhimu ila usiwe na maneno mengi yatakayo leta maswali au mshangao kwa mwenzio silaumu ila fahamu hivyoKwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.
Ndio limenitoka. wewe mke wako umemkuta bikira? Au dada zako wameolewa mabikira? Bikira mnazitoa nyie hlf unataka uoe mwanamke bikira? what goes around comes around. Hutapata mwanamke bikira kamwe! Miaka 200lazim pov likutoke
Duuuh miaka 200...!!Ndio limenitoka. wewe mke wako umemkuta bikira? Au dada zako wameolewa mabikira? Bikira mnazitoa nyie hlf unataka uoe mwanamke bikira? what goes around comes around. Hutapata mwanamke bikira kamwe! Miaka 200
Wapo wachache...unaweza ukabahatisha. wale wanaoponda wanawake wasio mabikira wahakikishe dudu zao ni bikira pia.Duuuh miaka 200...!!
unatukatisha tamaa huku tunaotaka hao mabikra...
Nimezielewa lips zako kuliko!Kwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.
Teh teh..Mtoa mada inaonekana umeitafuta sana bikra bila kuipata ndo mana umepanic.
After all mwanamke bikra ni sawa na chakula kibichi au tunda ambalo halijakomaa na ndio maana huwa wasumbufu sana day oneAma kweli hawa wanawake wana kazi kweli kweli...kila siku wao,
Jana waliitwa desperate women wakashauriwa kisa umri umeenda wasichague aina ya wanaume wa kuwa nao hasa ma HB
Leo wasijishebedue hata kuhitaji kuolewa kwa harusi,kisa hawana bikira.
Daaah!!!
tatty mbona umekuwa mkali hivyoo?Wapo wachache...unaweza ukabahatisha. wale wanaoponda wanawake wasio mabikira wahakikishe dudu zao ni bikira pia.
Utakuta mtu amekazana kutaka kuoa mwanamke bikira wakati yeye mwenyewe chovya chovya tu