The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,160
Wanawake ni jeshi kubwa limeloshindwa kumlinda mwanaume. Limekuwa jeshi la kulialia na kulaumu. Wengi wao wamekuwa makatibu wenezi wa kueneza lawama za wanaume zao! "All men are dogs"
Yeremia 31:22
[22]Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.
Sasa wewe umefanya juhudi gani kumlinda mumeo au mwanaume wako!!
Mlinde mumeo akutunze, akikutelekeza ni uzembe wako, mlinde mumeo akulishe, asipokulisha ni uzembe wako, mlinde mumeo asikuue, akikuua ni uzembe wako, mlinde mumeo akupende, akikuchukia ni uzembe wako, mlinde mumeo asichepuke, akichepuka ni uzembe wako, mlinde mumeo ili ndoa yenu isiwe ndoano, ikiwa ndoano ni uzembe wako, mlinde mumeo, usipomlinda Asili itakutumbua maana ni wajibu wako!
Zipo mbinu nyingi sana za kumlinda mumeo ila leo nakupa moja tu.
Mwanaume anapochoka huhitaji upweke, kamwe usijaribu kuongea naye mpaka akili itulie vinginevyo atakujibu shit mpaka ujione tumbili! Hata kama una habari njema subiri dishi litulie, maana akichoka huwa linayumba kweli. Ni tofauti na nyie mkichoka mnapenda mtu awapetipeti kwa maneno matamu yaliyojaa uongo wa ntakununulia ndege mpaka unapitiwa na usingizi na kuamka umesahau maswaibu na uchovu wa kutwa nzima.
Kasheshe ni pale mke na mume wote ni wafanyakazi, mnarudi mmechoka. Hapo mume anahitaji faragha, mke anahitaji kupetipetiwa! Kitakachotokea hapa ni mume kuondoka amenuna! Kitendo hiki kitamfadhaisha mke ahisi amemuudhi mume na hivyo kuamua kumfuatafuata kila anakokwenda. Matokeo yake wote wanakuwa bored na ugomvi unaibuka. Ndo maana ukifuatilia chanzo cha migogoro mingi ya ndoa haina kichwa wala miguu!
NB: Kuna kidemu kinasema "Wanaume wote ni Mbwaaa!!" Lakini kwenye mahojiano kinajitambulisha kuwa ni ki Video Vixen sasa Vixen unajua maana Yake? Vixen means a Female Fox yaani Mbwa Mwitu wa Kike!!🤣🤣🤣🤣🤣