Baadhi ya wanawake mmezidi uvivu

Baadhi ya wanawake mmezidi uvivu

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Mmezidi uvivu sasa, mtu unaamka asubuhi with alot in your mind to face the rest of the day ndio kwanza mwenzako yeye anacheza game kwenye simu.

Mnaboa,badilikeni.
 
mmezidi uvivu sasa . mtu unaamka asubuhi with alot in your mind to face the rest of the day ndio kwanza mwenzako yeye anacheza game kwenye simu.

mnaboa. badiliken.
Mabalaa yako ya nyumban usituletee hapa
Tena ututue
 
Yaani ni kuwa mmeshindwa kukaa pamoja kukanyana hayo,may ni tamaduni keshazoea hivo,so ni vizuri ukamwambia au unamuogopa? Maana ndoa zingine shughuli ipo
 
Mmezidi uvivu sasa, mtu unaamka asubuhi with alot in your mind to face the rest of the day ndio kwanza mwenzako yeye anacheza game kwenye simu.

Mnaboa. badilikeni.

Alitakiwa kufanya nini badala ya kucheza game?
 
Mabalaa yako ya nyumban usituletee hapa
Tena ututue

wewe huko porini hakuna game sasa sijui ulijua namaanisha nini?? kalime kwanza ndio ikifika tena zamu yako kupost kwenye kompyuta ya kijiji uje kunijibu ukiwa timamu
 
Umeshindwa kumwambia uso kwa uso?au yupo humu ujumbe ataupata?
 
mmezidi uvivu sasa . mtu unaamka asubuhi with alot in your mind to face the rest of the day ndio kwanza mwenzako yeye anacheza game kwenye simu.

mnaboa. badilikeni.

Mwanamke huishi vile unavyomzoesha, pengine weekend ushazoea kushinda au kuondoka home late so anajua chai unakunywa saa nne!! Lakini pia ni vitu vya kuongea nae na si kuonesha kukwazika na kukimbilia JF, maana ukiona unashindwa kutatua jambo dogo kama hili tena la kifamilia jua kuwa akili na umri wako havikufikia kuoa!!

Maisha ya nyumbani hayapaswi kukukwaza, kwazika kwenye kazi, kwazika mtaani lakini hakikisha ukifika home ni pumziko lako!
 
Yaani ni kuwa mmeshindwa kukaa pamoja kukanyana hayo,may ni tamaduni keshazoea hivo,so ni vizuri ukamwambia au unamuogopa? Maana ndoa zingine shughuli ipo

hivi kweli unaweza kuamka asubuhi ukacheza game wewe mkuu??
 
sasa unatakiwa umwambie il aache hyo tabia, ucpomwambia yy ataona yuko xawa na atazd kuendelea na hyo tabia..#"
 
hivi kweli unaweza kuamka asubuhi ukacheza game wewe mkuu??

Kinachomata ni amelichukuliaje wazo lako ,kuna me wengine anaona kila kitu anawezafanya yeye na kumdharau mkewe kuwa hawezi nipa mawazo may be ana.hiyo negativity ulomjengea kiasi kwamba anaona bora acheze game tu
 
Mmezidi uvivu sasa, mtu unaamka asubuhi with alot in your mind to face the rest of the day ndio kwanza mwenzako yeye anacheza game kwenye simu.

Mnaboa,badilikeni.

CC. Wapendwa Wangu Hawa Miss Chagga, Mahondaw, My Eyes Na POPOMA Langu Hili Cute B.
 
Mmezidi uvivu sasa, mtu unaamka asubuhi with alot in your mind to face the rest of the day ndio kwanza mwenzako yeye anacheza game kwenye simu.

Mnaboa,badilikeni.

Jf mahali pa kumalizia stress za watu, tunabebeshwa mizigo ya watu hapa zen wenyewe wanabaki huru, si tumekalia kuandika tu hadi vidole vinapata vitobo.
 
Pole sasa njia nzuri ya kuboresha uhusiano ni kuongea yanayowasibu na kuyatafutia ufumbuzi kucheza game sio kosa na je kwani yeye yupo akilini mwako mpaka aweze kujua leo unawaza nini akusupport kama hujamweleza mweza wako kaa nae mmalizie tofauti zenu
 
Kulalamika siyo solution tena inatuonyesha mwenye madhaifu ni wewe siyo yeye, umemshape vipi kwamba akiamka awe na jambo la kukwambia au kufanya, baba ndo kichwa cha nyumba kaona nawe husomeki bora ajichezee game akili yake iwe sawa.
 
Mmezidi uvivu sasa, mtu unaamka asubuhi with alot in your mind to face the rest of the day ndio kwanza mwenzako yeye anacheza game kwenye simu.

Mnaboa,badilikeni.

daaaah! sasa mkuu si tufanyaje jaman, kwanini usimwambie? au yuko humu JF so ndo una deliver ujumbe!!!!
 
Jf mahali pa kumalizia stress za watu, tunabebeshwa mizigo ya watu hapa zen wenyewe wanabaki huru, si tumekalia kuandika tu hadi vidole vinapata vitobo.

Kwani Umelazimishwa Uchangie??!.Sio Wote Tuwe Wachangiaji Unaweza Kubaki Msomaji Tu.
 
Back
Top Bottom