Na ndiyo maana nimeanza kwa kuwonya wanaume wenye tabia hiyo ya kuwadhalilisha wadada. Pia nimewataka Dada zetu kujiheshimu kwani heshima ya mtu huijenga yeye mwenyewe.
Kumbuka pia upendo wa mtu na kujirahisisha kisa anakupenda isiwe sababu ya kumdharau maana hawa ndio mama,dada,aunt na marafiki zetu ....wanaume tujiheshimu
sku hz c wanafunz,walmu,yaan wanawake wote 90% wamefumuliwa marinda katka 10 bas 8 hawako salama tamaa tamaa tu znawaponza sana,na mi nasema mpgwe tu maana mnachosha na hakuna namna.
mkuu mimi hapo kwenye hizo data zako ndio nimechoka......