Mkuu mbona huu uzi umeuleta kwa jazba hiv, yapi yamekusibu..!
toa ujnga wako hapo n kp cha uwongo nlchoandka mala.ya mkubwa wewe unanijua mimi,unadhan kila anaekosoa wanawake n kula kulala,mshenz ww kwa taarifa yako sna njaa nna kaz ya uhakika na mwez ujao mimi na jamaa zng watano tuliograduate na kusoma wote A level tutaanza endesha NGO yetu ambayo imepata usajiri mwez huu,na mpaka sasa tuna ushirika na NGO 5 za ujeruman na italy,karibu kwangu uone ni PM karibu sana Boko.
..........reference dada zako,mama yako na ndugu zako,...............
Mwanamke ni kiumbe mpole sana na pia ni kiumbe katili sana, kwa hiyo inategemea unamtunza vipi au unamfanya awe nani au unaishi nae kwenye mazingira ya hali gani. Unajua muda mwingine hata bubu anaweza kuongea kwa uchungu wa mwanawe.
toa ujnga wako hapo n kp cha uwongo nlchoandka mala.ya mkubwa wewe unanijua mimi,unadhan kila anaekosoa wanawake n kula kulala,mshenz ww kwa taarifa yako sna njaa nna kaz ya uhakika na mwez ujao mimi na jamaa zng watano tuliograduate na kusoma wote A level tutaanza endesha NGO yetu ambayo imepata usajiri mwez huu,na mpaka sasa tuna ushirika na NGO 5 za ujeruman na italy,karibu kwangu uone ni PM karibu sana Boko.
mkuu mbona mambo ni magumu sana kwa mtindo huo....kwahiyo kila nikiona kundi la wasicha10 mie kichwani kwangu naweka kuwa 8 wamefumuliwa marinda....? je ngoja nianze an wanawake wa kwenye dala dala nitapokuwa nikrudi nyumbani....ntaleta fdbck.
Hivi mnaweza kuacha kuwadharau wanawake?
Na Mimi nasema vidume acheni kudharirisha mama zenu na Dada zenu. Na wanawake acheni tamaa maana mwanaume aliekupenda bure na hujamlia vyake hawezi kufikia hatua ya kuku dhalilisha namna hiyo na ukiona hivyo kwanini usitimue mbio? Jamani mi nadhani hizi western culture tuwaachie wenye nazo hebu tujaribu kuisha kama binadamu wenye utashi. Jamaa ameandaka Uzi huu kwa hisia Kali sana labda jambo hili linamuuma sana na nadhani kili mwenye maadili hili jambo litamgusa.
Jamani tuwaelimishe vijana juu ya shida hii maana kati ya wa Dada 10 wenye nafuu 2 tu hii ni hatari dunia imekwisha. Eti watu mnapinga ukweli kwa kumshambulia mtoa uzi mi naona hili halijakaa vizuri swala la msingi tubadili tabia.
Swali rahisi kwako ni hili, hao wanawake wanafanya huo uchafu kwa kutumia nini? Je ni dildo au ?