Baadhi ya wanawake hawana maana

madiya85

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
282
Reaction score
65
Mara nyingi wakiwa kwenye vijiwe vyao ama ofisini hasa wenye ndoa wengi wao huishia kuvunjiana ndoa tu,unakuta mwingine anamshiriksha mwenzie matatizo yake na mumewe utashangaa ushauri atakaopewa ni either achepuke or avunje ndoa kwanza ana kazi mwanaume wa nini.

Sasa cha ajabu huyo anaemshauri hivyo mwenzie nae ana changamoto nyingi lakini hasemi zaidi ya kuijitapa kwamba mume wake hambananishi hata kidogo na hafurukuti kumbe uwenda anapata kichapo kikali na jamaa halmjali lakini mpole kaa maji mtungini ila kuharibu kwa wengine kiboko,ndo maana jamaa mengi siku hizi hawaoi yanawahamishia geto tu.

Wanachezea kisha wanatimuliwa,analetwa mwingine nae atapigwa mimba then mtoto at the end hakuna ndoa unatimuliwa siku yaani wanawake wamefanywa kinyume na maumbile katika 10 basi 8 hawako salama tamaa tamaa tu zinawaponza sana.
 
sku hz c wanafunz,walmu,yaan wanawake wote 90% wamefumuliwa marinda katka 10 bas 8 hawako salama tamaa tamaa tu znawaponza sana,na mi nasema mpgwe tu maana mnachosha na hakuna namna.

mkuu mimi hapo kwenye hizo data zako ndio nimechoka......
 
Kuna ukweli hapo juu lakini sina uhakika na ulivyo maliza uzi wako
 
sku hz c wanafunz,walmu,yaan wanawake wote 90% wamefumuliwa marinda katka 10 bas 8 hawako salama tamaa tamaa tu znawaponza sana,na mi nasema mpgwe tu maana mnachosha na hakuna namna.

mkuu mimi hapo kwenye hizo data zako ndio nimechoka......

kim jog un, dunia imeisha mkuu we jaribu kufatilia si wake za watu, wachumba, wamama watu wazma weng sana wanafanya huu mchezo na wanapenda
 
mmh, uzi wako unanuka ebu usogeze pembeni kidogo.....
 
kim jog un, dunia imeisha mkuu we jaribu kufatilia si wake za watu, wachumba, wamama watu wazma weng sana wanafanya huu mchezo na wanapenda


Mkuu kuna wanaopenda huu mchezo siku hizi kama wanaume?
 
Mkuu kuna wanaopenda huu mchezo siku hizi kama wanaume?

szungumzii wanaume hapa mi npo na wanawake, hao nao post yao itakuja tabia za kshenzishenz n lazma zkomeshwe.
 
Mleta thread Kama amepanic hivi!!
 
Nilichoshangaa ulikuwa hujui hilo kwamba ndivyo walivyo.
 
Kuna uwezekano ukawa haujasoma upepo, siku hizi hatuingii kwenye mahusiano ili tuoane, tunaingia ili tupate mtu wa kupoza genye tu.
 
Wanawake chezeni katika nafasi yenu vivyo hivyo wanaume chezeni katika nafasi yenu. suala ni utambuzi tu na makusudio yakinifu ndani ya mtu binafsi. mama ukijua wajibu wako ndani ya ndoa na kuammua kuutimiza na baba pia. haya hayatakuepo wala mada kama hizi hatutaziona hapa.

changes begin with you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…