Baadhi ya wanaume na Uongo mtakatifu....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya wanaume na Uongo mtakatifu.......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by condorezaraisi, Apr 18, 2012.

 1. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kha eti kila nikikuona naumia jamani huu ni mwaka wa nne unanitesa...kwani mie sio mwanaume?Mimi penda wewe kupita maelezo.
  Anytime nitaacha kazi kwa ajili yako maana naona nakoelekea ni maumivu tu yananitawala ....Ajira zilivyo ngumu kupatikana...
  Kwa nn hunipendi ..naona kama unanidharau sana ama nina kasoro..
  Basi jamaa akanunua gari ..sijui alidhani gari lake ndo litamsaidia kupata kile anacholilia kila siku

  Mara akaanza ooh baada ya kazi nitakupa lift..nataka nikupeleke kwako.. mtu mzima ovyo..
  Majibu aliyopata public transport inanitosha sana mpaka siku nipate la kwangu.
  Toka hapo nikimsalimia haitikii tena na ukitoka mlango wake wa ofisi unaingia wangu ...

  Huu mwenzi wa tatu mwendo mdundo no salam...inachekesha

  Cha kunishangaza mtu ameoa na ana watoto wawili wanawake tuna kazi,,

  Dunia sio mbaya walimwengu ndio hawakamatiki ....
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Lol acha kumtesa mwenzako aisee
  Teh kamsemee kwa mkewe ajiju
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Aisee!! Pole sana..
   
 4. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Yani unikatae na kashfa huku jf? Ngoja sasa ntakuendea kwa babu,nshakusoma wewe
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Hongera sana kwa uamuzi wako.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI"
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  UONGO MTAKATIFU ndio upi?
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  achana nao
  ni mashetwani tu kazini hao
  tupilia mbali huko
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hvi mwanaume wa mtu anadhani ni rahisi mtu mzima na akili zako uende nae kujilaza maguest short time eti
  cha kujidhalilisha?
  ili nini kwanza?
  tamaa zenu malizieni kwa wake zenu na mabeki tatu wenu huko
  upuuzi mtupu
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Makubwa hayo.
   
 10. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Erickb52 mie huwa nadhani labda ana matatizo ya akili ..kashaoa ina manaa nafasi iko full
  Na kununa nuna huko kunatokea wapi?
   
 11. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ujumbe sent and received. :A S-fire1:

   
 12. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gaspery acha uchokozi ..
  kama ni wewe kiukweli sijakuelewa...eti uache kazi kwa ajili yangu ...Ajira Ajira watu tunalia na ajira
   
 13. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Siku hizi hata tulio na elimu ndogo hatutaki kuwa chakula cha maboss
   
 14. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ha ha Tanmo kwa unyonge na unyenyekevu unanipa pole
  Nashukuru sana.
   
 15. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Siyo uchokozi yani hapo unazidi kutibua nyongo yangu kama nakaa na mawazo miezi mitatu yote unaona poa tu yani hata hii kazi nshaichukia na sioni maana ya hii pesa ntajivua gamba
   
 16. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vip mama watoto anajua haya?
   
 17. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Anayajua saana,yani ilibidi nimwambie ukweli japo ulikuwa mchungu,tumekosana na wewe pia hunitaki yani vyote nakosa kisa wewe?
   
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kumbe hata gari hana....ndio kwanza anataka anunue....um,i guess nikukopa...hebu tupa kule...
   
 19. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  ingekua enzi zangu hiyo assignment nzuri,lazima ungeingia mtegoni!walio shindikana ndio wananona halafu sirudii tena!
   
 20. S

  SI unit JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hata kama mkipuuza, kutukana, kukejeli n.k ukweli utabaki palepale. Mnapenda na mnafarijika kuambiwa romantic words za uongo, na wote mnaojifanya kuponda ni "waumini" wazuri sana wa hayo maneno..
  ...
  Ooh, una mguu wa 'bia' mpnz, nawe unajibu asante honey, kumbe vimiguu vyenyewe ni kama "tus pik"..
   
Loading...