Baadhi ya wanaume na Uongo mtakatifu.......

Baadhi ya wanaume na Uongo mtakatifu.......

Tatizo la watu wenye tabia hizo, Ukimvulia nguo ya ndani tu! basi kwisha habari yako...! Ukibipu upigiwi na ukipiga ww sababu kibao...........! mara niko kwenye kikao, mara semina.
Mwanaume mwenye mke hana maana hata kidogo, Hatosheki ni tamaa tu, hamna mapenzi, kashawapenda wengi basi kwa stahili hii.
 
Erickb52 mie huwa nadhani labda ana matatizo ya akili ..kashaoa ina manaa nafasi iko full
Na kununa nuna huko kunatokea wapi?
Siunajua alidhani easy to carry so inauma sana kutopata anachotaka....
Achana nae
 
Tatizo la watu wenye tabia hizo, Ukimvulia nguo ya ndani tu! basi kwisha habari yako...! Ukibipu upigiwi na ukipiga ww sababu kibao...........! mara niko kwenye kikao, mara semina.
Mwanaume mwenye mke hana maana hata kidogo, Hatosheki ni tamaa tu, hamna mapenzi, kashawapenda wengi basi kwa stahili hii.

hahaha afadhari wewe umesema!
 
Afu kuna mmoja nimemnunia hapa ofisini.
Kila nikimwimbisha anasema, anamwogopa bosi wake

Mapenzi yana hila!
 
hvi mwanaume wa mtu anadhani ni rahisi mtu mzima na akili zako uende nae kujilaza maguest short time eti
cha kujidhalilisha?
ili nini kwanza?
tamaa zenu malizieni kwa wake zenu na mabeki tatu wenu huko
upuuzi mtupu

mmh, mbona unakuwa mkali hivyo jamani kwenye masuala ya kupendana...
 
Back
Top Bottom