Baadhi ya wahindi na hizi biashara

Hao babu zao walifaidika kwa kuachiwa mali na ardhi na wakaloni sababu wahindi were deemed second class citizens baada ya wakoloni wenyewe.
 
Hao babu zao walifaidika kwa kuachiwa mali na ardhi na wakaloni sababu wahindi were deemed second class citizens baada ya wakoloni wenyewe.
Yes na wengine Business tuu..jamaa ni fighter sanaa na wanajua kutunza pesa na umakini kwenye matumizi.
 
Na wanaopokea hiyo rushwa ni nani? Hao hao wahindi tena au??
 
Ningekuwa rais wa hii nchi Hawa watu ningewatembezea kibao Cha chini kwa chini Hadi wangeacha ujinga .

Wabaguzi ,wanyonyaji,makatili , washirikina,mafisadi.

Ningefanya revolution of economy wangesepa mmoja mmoja .

Wanajidai watanzania Ila hawana hulka za kitanzania hata

Ukiwakuta Canada na uingereza bana Ni wazalendo wa hzo nchi kweli kweli.
 
Hapana mkuu acha jazba wao wamepata fursa na kuitumia na nchi zote duniani wahamiaji ndio wameshika uchumi wa nchi husika kuanzia enzi wale wote walioondoka nchi zao na kuhamia nchi zingine aidha kwa kupenda au kikazi kama wao Babu zao walioletwa kutengengeza Reli au wengine kukimbia vita

Ukiangalia hata huku UK tajiri wakubwa wahindi wamo katika top 100 kibao
Ila wanafuata sheria za nchi kama serikali inavyotaka
Kama home sheria zinapindishwa nao wanafuata wanavyoona bora kwao pia

Hata mbongo akifungua biashara katika nchi Jirani ambapo wao hawana na idea kaitoa Tz lazima awe successful

Tujitahidi kupambana tu na kufanya kazi kwa bidii
 
Hata mimi nimeona hilo.. ..duka lina vitu vichache mno unaweza dhani anafunga anarudi india..

May be store watakuanavyo vya kutosha.

Hawa jamaa wako tofauti na jamii zingine. Kwanza kabisa Wengi wao Wanadharau, ubaguzi, roho mbaya na sio tu kwa mtu mweusi hata kwa jamii zingine.. ..wanajiona wao ndio perfect kuliko binadamu wengine.

All in All (Kiboko yao waarabu) hawatii neno hapo, wanawajua vizuri 😀
 
Ushafika India? Ama kufanya kazi na jamii za kihindi? Pengine bado haujajua maana ya ubaguzi wewe

Nimefika India na nimeshafanya kazi na wahindi, jamaa wapo serious kwenye utafutaji. Sisi tunaishia kuishi na majungu, choyo na roho mbaya tu
 
wabongo ni wabaguzi sana, tunatiana aibu kwa kweli
Ukweli mchungu,tuvumiliane tu..tunabaguana kimakabila.. sembuse mtu mwenye rangi ya ngozi tofauti..
Tunavyojua kunyooshea watu vidole,kana kwamba sisi tuko perfect..
Kuna watu tunajiona kuwa na ngozi nyeusi inatupa uhalali wa kuhukumu wengine na kuona kama hapa sikwao, wakati unaweza kuta watu hao wapo vizazi na vizazi tangu karne ya 19..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
ndio mana tunazidi kuwa maskini kutokana na roho zetu mbaya
 
wakwepa kodi wakubwa ni hawa jamaa halafu wanatudhulumu watz zile nyumba za NHC wamejitawala wao tu unakuta anakaa nyumba ya serikali juu chini duka kote ni bei chee akitoka dukani anapanda gorofani pesa hazipelekwi bank kwenye mzunguko, waliobomolewa nyumba wana hangaika wahindi wanajiachia tu kwenye nyumba za NHC kama vile wao ndio wananchi lengo kuu la zile nyumba imekua tofauti na matumizi, wana lugha chafu za matusi wanyanyasaji wakubwa.
 
Hakuna anaeyewachukia wahindi

Pengine wao ndio wanatuchukukia zaidi usilete harakati za kiduanzi kama unabisha nenda kafanye kazi kwa muhindi hata mwezi mmoja tu utaelewa wanachosema watu hapa

Hapo jamaa sio binadamu
 
Wewe unalipa kodi kikamilifu? Tuache uwongo, ni kama tunataka kusema kwamba wahindi wote kwa ujumla wao wangelipa kodi kikamilifu, ndio serikali ingejitosheleza..
Tusisahau kwamba wahindi hawafanyi kazi kwenye idara yoyote ile za serikali, labda mmoja mmoja tu.. 1 in like 10,000 maybe (something like that), hii ni mfano tu kuelezea uhalisia...kwa hiyo kodi wanakwepaje? wanashirikiana na kina nani???

Cha pili, asilimia karibia zote za nyumba za NHC wakati ule zilijengwa na wahindi wenyewe... ilikuwa mali zao.. zilitaifishwa na kurudishiwa kwao tena, ila tu mara hii wamekuwa wapangaji... elimu ni nuru.. na information ni elimu mmoja wapo... inawezekana umezaliwa majuzi tu..
usiwe na haraka kuhukumu.. ukianza kuhukumiwa, inawezekana ukakosa mahali pakujificha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…