Baadhi ya vitu naviona kawaida kwanini?

Baadhi ya vitu naviona kawaida kwanini?

kila mtu na mtazamo wake kwa kile akipendacho c lazma wote tuwe sawa.kam umenielewa?
 
Mkuu unachongea ni kweli lakini naweza kuwa tofauti kidogo na wewe, katika suala la mapenzi asikuambie mtu mkikutana wawili wote mko vizuri kugegedana kunakuwa na utamu wa hali ya juu sana. Kama wewe mwanaume una upungufu wa nguvu za kiume hili suala lazima ulione la kawaida sana, ila kama upo fiti na una ngvu za kutosha utaona sio la kawaida mana ni burudani ya asili
uko sawa kabisa,mkuu.kila mtu na kipaji chake katika mechi kwenye kutia njonjo.
 
Habari za muda huu Jamii forums.

Kuna Baadhi ya mambo ambayo kwa Upande Wangu naviona vya kawaida sana lakini nashangaa watu wengine wakikisifia kitu ambacho nakiona cha kawaida hii inanipa wakati Mgumu,

Mfano;
Suala zima la mapenzi naliona la kawaida sana kama kunawa hivi.
Lakini nitamsikia mtu mwingine akimsifia msichana aliemchukua Bar Usiku kuwa ni mzuri mtamu.

Labda kuna tatizo gani.

Kwanini vitu watu wanavyosifia naviona vya kawaida.

Karibu.

Wee unafikiri kwa nini unaviona vya kawaida?
 
Hata post yako mbn ya kawaida sana
 
Back
Top Bottom