Baadhi ya vitu ambavyo wengi hatuvifahamu

Baadhi ya vitu ambavyo wengi hatuvifahamu

Kikawaida mwanaume akisimama wima na akatanua miguu Yake;

Mwanaume anaetumia mkono wa kulia,
Pumbu lake kushoto huninginia Chini Zaid ya pumbu lake la kulia.

Mwanume anaetumia mkono wa kushoto
Pumbu lake la kulia hinginia Chini zaidi ya pumbu lake la kushoto.
 
Mtu akinywa ulanzi ukojoa mkojo unaonuka vibaya sana, (Kama yai viza).

Ila ili kujua harufu ya huo mkojo,

Lazima uwe pia uwe umeshakunywa ulanzi.

Vinginevyo hutohisi harufu tofauti na mkojo wa kawaida[emoji4]
 
Back
Top Bottom