Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Kiswahili chenga, english chenga.
Huyu naye hebu atupishe huko,, ni umoja gani anaosema tuujenge wakati yeye ni kinara wa kuubomoa? Hanaga aibu huyu mtu?Rais Dkt Magufuli Atoa Neno Katika Siku Ya Leo Ambapo ni kumbukumbu ya kifo cha aliekuwa waziri mkuu sokoineView attachment 742272View attachment 742273View attachment 742274
Mkuu kiukweli,John Pombe Magufuli ni Rais wa ajabu...!!
Rais hajui Kiingereza wala hawezi kujieleza kwa Kiswahili FASAHA si kwa KUANDIKA wala KUZUNGUMZA...!!!Sentensi zimeandkwa kwa kuungaunga kwa Kiswahili cha Kisukuma..(KISWAKISU)....!
Halafu anajiita Dokta na kutamba huku wenzake akiwaona ni vilaza....Phew!
Wewe na hao waliokulike mjue hakuna neno iyo tweet... ni hiyo tweet...iyo tweet ya pili Sizonje bana "tunapoazimisha" .
Hata hivyo he's not my president
Mkuu kiukweli,
umefanya kosa kubwa sanaa kwa kuandika maneno haya ,kwa upande wangu sijafurahishwa sanaaa na ulichokiandika hapa na ngoja nikuambie tu kitu hapa usijione uko salamaa kuandika kila kitu kibaya mtandaoni hapa na ukasema kuwa uko safe kiukweli kabisaa unajidanganya kuwa makini kijana.
Kila mara namkosoa Magufuli kwa kuharibu Kiswahili, lakini kuibwa (kama lilivyotumiwa hapa) ni Kiswahili sahihi.Ukikosoa hapo jihesabu wewe ndo umekosea kufikri.
kwani wewe hujui wadhifa aliyo kuwa nao mtajwa hapo kwa tweet ya Mr President? Kama hujui ni wajubu wako kufatilia.Tweet ya tukio la namna hii linalomhusu aliyekua kiongozi wa kitaifa inakuaje rais anatajataja tu jina la marehem bila kutaja wadhifa aliokua akiutumikia, ....??
Ukiwa na mindset ambayo ni "village based" unaona kama kila mtu duniani hapa ni mwananzengo tu ndo maana mambo makubwa yanazungumzwa na mtu mkubwa but unfortunately in a very local design
Matendo yake yanamsadifu marehem..ye hajataka kuzungumzia wadhifa..hayo tafuta mwenyewe..ye alitaka kuzungumzia aina ya mtu, sifa yake na matendo..ambapo naweza kuwa Mimi au wewe pia au awaye yeyote mwingine..Tweet ya tukio la namna hii linalomhusu aliyekua kiongozi wa kitaifa inakuaje rais anatajataja tu jina la marehem bila kutaja wadhifa aliokua akiutumikia, ....??
Ukiwa na mindset ambayo ni "village based" unaona kama kila mtu duniani hapa ni mwananzengo tu ndo maana mambo makubwa yanazungumzwa na mtu mkubwa but unfortunately in a very local design
Yan rais anataman kufuata nyayo za waziri mkuukwani wewe hujui wadhifa aliyo kuwa nao mtajwa hapo kwa tweet ya Mr President? Kama hujui ni wajubu wako kufatilia.
Rais Dkt Magufuli Atoa Neno Katika Siku Ya Leo Ambapo ni kumbukumbu ya kifo cha aliekuwa waziri mkuu sokoineView attachment 742272View attachment 742273View attachment 742274
kapewa za uso na watu huko duu
Aina ya watu wanaomuunga mkono huyu jamaa wanafanana naye akili.iyo tweet ya pili Sizonje bana "tunapoazimisha" .
Hata hivyo he's not my president