Wadau,
jana nilikuwa na field trip iliyokuwa na mateso kidogo na nilibahatika kupiga picha.picha hizo baadhi yake niliwarushia marafiki lakini kufika jioni hazionekani kwenye bali ni rangi nyeusi (kivuli).
Nime scan simu kwa kutumia avast lakini bado,msaada wadau