Baadhi ya mila ni shida

Mkuu kwani kwenye njano ni nini au macho yangu.

Mbona huyo mwanaume amevaa surauali ya njano???? Ahaaa kumbe kuna rangi njano kwa nguo ya mwanamke pia lakini hiyo nguo ni draft tu...tehtetehteh..sasa unasemaje dogo???!!!! tehtehteh
 
Tafsiri ni kwamba kikao kimefunguliwaa lakini mwanamke haruhusiwi kusema chochoote
 
Mbona huyo mwanaume amevaa surauali ya njano???? Ahaaa kumbe kuna rangi njano kwa nguo ya mwanamke pia lakini hiyo nguo ni draft tu...tehtetehteh..sasa unasemaje dogo???!!!! tehtehteh
Akipita mwanamke mwenye chura unatabia ya kumwangalia kwa nyuma bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…