Baadhi ya matunda ya katiba mpya kenya. Devolution works for some

Baadhi ya matunda ya katiba mpya kenya. Devolution works for some

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
1545994_274381936044755_733250112_n.jpg


ino KATIBA MPYA YA KENYA INGEKUJA HATA MIAKA 20 HUHKO NYUMA TUNGEKUWA TUMESONGA MBALI.HAYA MAGARI 120 AMEYANUNUA H.E GOVERNOR WA MACHAKOS COUNTY.CCTV TOWN NZIMA.MBWA TRAINED 40.40 GUN DETECTORS.ACOHOL BLOWS.A CRIME FORENSIC LAB ALL IN 8 MONTHS.DAMS.TRACTORS N.K.KUMBE PESA SILILIWA HUKO JUU NA KWAMBIWA HAMNA PESA.MFUMO WA COUNTY NA SELIKARI ZAKE PESA ZIMESHUKA.

1618413_274378942711721_1245396673_n.jpg



1150156_274377026045246_1832967905_n.jpg


1559615_274377326045216_1617432482_n.jpg


1654059_274456149370667_415762260_n.jpg



1545700_274372499379032_1323772277_n.jpg


H.E GOVANA WA MACHAKOS COUNTY DR. MUTUA
1544383_274372012712414_501394419_n.jpg


1176168_274362542713361_1996254370_n.jpg


safe_image.php
NAIROBI COUNTY
386906_374944009241834_1467008016_n.jpg
NAIROBI COUNTY

182103_366902196712682_811596770_n.jpg
SISEMI KITU


523629_374994722570096_1947083411_n.jpg


999433_312672358877652_1838768927_n.jpg
D.PRESIDENT WITH KENYA SKATING TEAM

1004935_312682502209971_742926703_n.jpg
THE TEAM IN ACTION IN BELGIUM

1045148_286301488181406_1571034235_n.jpg
SKATING TEAM YA KESHO

1383684_480885562010040_1058530450_n.jpg
NAIROBI CITY COUNTY GAVANA AND THE COUNTY FLAG

1234104_659934117353120_1830359163_n.jpg


1364410211-nairobi-county-governor-takes-oath-of-office_1912954.jpg
 
Hongeleni Sana Kwa Kupiga Hatua, Huku Katiba Yetu Ccm Wanataka Kuichakachua
 
Dr Mutua amesema atajenga hadi F 1 Circuit kwa ajili ya mbio za langa langa!
 
safi wakenya
hapa tz bado wamengangana na waizi ccm.
_umeme bei juu
_gas bei juu
_mkaa bei juu
 
Ma ccm yameng'ang'ania nchi hii, cjui tutumie njiagani kuyatoa maana kwenye box la kura yanachakachua sana tu!
 
Mungu tusaidie TZ tuna safari ndefu sana .Ninachoshangaa ni kwanini serikal haijifunzi kufanya vitu ambavyo vinaweza kulisaidia taifa hili lisonge mbele .
 
hata wabunge wao wakilipwa mil 200 wana haki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom