Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,119
Mwanzisha mada una roho mbaya na ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa mchawi....Kama una malalamiko kuhuzu mali za huyo mkuu wa mkoa peleka Tume ya Maadili ya utumishi wa umma.
Sikuanzisha hii mada kwa ajili ya kilaza kama wewe, ndio maana nikasema wataalam wa utawala na sheria wewe la 7 c soma upite maana nyie mnaokaa kwa dada zenu kula kulala kwa shemeji ndio mnasumbuaMwanzisha mada una roho mbaya na ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa mchawi....Kama una malalamiko kuhuzu mali za huyo mkuu wa mkoa peleka Tume ya Maadili ya utumishi wa umma.
Mkuu kwa uzoefu wako kuna RC aliwahi kufanya haya kwenye historia ya nchi yetuYeye ndie Rais msaidizi nani atamhoja ?
Mwanzisha mada una roho mbaya na ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa mchawi....Kama una malalamiko kuhuzu mali za huyo mkuu wa mkoa peleka Tume ya Maadili ya utumishi wa umma.
Inakusaidia nini?Jamani wadau na wataalamu wa maswala ya sheria na utawala embu tujadili juu ya hii tabia ya Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam kubadili magari kila anapojisikia na kubandika namba ya RC. DSM. Je kisheria imekaaje maana nnavyojua Mkuu wa Mkoa anapewa gar na Serikali na linakua na namba hiyo special sasa kama inatokea kiongozi akataka kubadili inaruhusiwa na kama hairuhusiwi sheria inasemaje.View attachment 1078105
Hivi akili unayo au bichwa limejaa maviInakusaidia nini?
Wewe wasemaHivi akili unayo au bichwa limejaa mavi
Mwanzisha mada una roho mbaya na ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa mchawi....Kama una malalamiko kuhuzu mali za huyo mkuu wa mkoa peleka Tume ya Maadili ya utumishi wa umma.
Mkuu achana na huyo kibwengoSoma vizuri, Mwanzisha Mada hazungumzii Mali za Mkuu wa Mkoa
usisumbuke naye hata kidogo kwani yote haya yataisha ndani ya muda mfupi ujao. Ya Mobutu yako wapi? Hesabu yao ni wengi na mwisho wao ulijaa aibu kama ule utajiri wa punje za mahindi! Vuta subira na omba uzima ushuhudie anguko lake!Mkuu kwa uzoefu wako kuna RC aliwahi kufanya haya kwenye historia ya nchi yetu
Anazungumzia Plate Number ya RC kuonekana kwenye magari yaliyozoeleka kama "binafsi" na ya "kifahari" au ana maana gani mkuu?Soma vizuri, Mwanzisha Mada hazungumzii Mali za Mkuu wa Mkoa