Baadhi ya magari ya RC DSM

Sijaliona lile li Ranger la rangi ya machungwa hapo
 
Nashauri akashtakiwe mahakama ya afrika mashariki.
Au makamanda mnasemaje?
 
Mtu anaweza kuwapa wachezaji wa Taifa Stars mil 10@ kwa kushinda mechi mnajiuliza anawezaje kumiliki magari kama hayo. Hao ndiyo Prof. Asad anawaita "political Entaprenywaa"
 
Hio range rover ipo zanzibar na itakuwa ya kukodi tu mana nilishawahi kuiona hio namba ya rc ikiwa imepandishwa juu ya ilokuwepo. Juzi moja nilimkuta na nissan patrol mbona hujaiweka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…