Baadhi ya magari ya RC DSM

Sawa mkuu
 
Hivi Ni ya kwake binafsi au ya serikali? Kama Ni ya kwake kwanini yawe na plate no hiyo na
Kama Ni ya serikali je ma rc wengine wanayo mengi Kama hayo?
 
Hapo ndo halijui hilo
Kwani anavaa vest siku hizi? Au ni gym tu imekubali..

Sasa boss. Kama anachenga maadui kwa kubadili magari, Mbona hiyo plate namba ndio itawaita hao maadui na kuwafungua macho? Au ni kujificha mbuni style...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…