nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,724
- 11,998
Je? kuna dalili kama twarudi tena kwenye uchifu?
Hawa ni baadhi ya machifu
Kutoka kushoto chifu wa Vunjo,wa Rombo na wa machame.
Hapa ni kabla ya uhuru na huko tayari kulikuwa na magazeti,bendera yao,nembo yao,ambayo ilikuwa na chui na mlima wao na gahwa(kama vile bibi na bwana kwa sasa na pembe ndovu).
Pia walikuwa na shule nzuri sana sana,pia kulikuwa na mabombo ya maji hadi vijijini na simu na lami na duh..aiseeeHivi baada ya uhuru nini kilitokea mbona mkoa wao ulikuwa fakalahi?