sa si utaje tu mkuu,ilikuwa nmb au nbc? We dare to talk openly here...
hyo milion hukupewa wewe au unataka kudanganya umma
Ku-deposit/withdraw ni issue moja,Kwani unapotoa/withdraw pesa yako benki si unatakiwa upewe na balances statement ya account yako! au walau kiasi ulichotoa! au?
Tellers nao ni binadamu ..............wakati mwingine na wao hukosea....isipokuwa na wewe ulipo-withdraw pesa ulitakiwa kuwa makini........all the best though............