Baadhi ya links za magazeti ya jirani zetu

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
329
Wadau... katika kuchangia kuelewa nyendo za maisha ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya jirani zetu ambao Mungu akipenda tutakuwa nao kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki napendekeza tuwe tunawasoma kwenye mitandao ili tujifunze,tujihadhari au kujiandaa kwa hatima yeyote....

Hizi hapa quick links chache. Najua wengi wanaweza kuzitafuta lakini pengine wengine hawatazipata kwa urahisi....

UGANDA

http://www.newvision.co.ug/

www.monitor.co.ug

KENYA

http://www.nation.co.ke/

http://www.eastandard.net/

RWANDA

http://www.newtimes.co.rw


BURUNDI

http://www.burunditribune.com/news/page.cfm?pid=2&catid=2&LANG=E

Wadau wengine watuongezee tujielimishe...
 
Back
Top Bottom