Baadhi ya kozi zadoda (zakosa wateja) vyuo vikuu

Baadhi ya kozi zadoda (zakosa wateja) vyuo vikuu

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
541
Baada ya mfumuko wa vyuo vikuu nchini Tanzania baadhi ya kozi zimekosa watu wa kuzichagua au kujaza nafazi baada ya wanafunzi wenye sifa kupangiwa kozi walizoomba kupitia TCU. Hata chuo kikuu kikongwe baadhi ya kozi zake zimekosa kabisa wanafuzi wa kujaza nafasi. Hii inatupa funzo gani kwa watu wa mipango? Nimeambatanisha vielelezo kutoka TCU na UDSM ili kwa wale ambao wana ndugu zao wenye sifa wajaribu labda watapata second selection.
 

Attachments

Back
Top Bottom