Baadhi ya facts kuhusu nyoka

Nyoka ni kiumbe mwenye umbo msingi la kiumbaji "primary creation structure"...kila kimbe kina umbo la nyoka ndqni yake.
Mfano ukiangalia mfumo wa binadamu kuanzia mdimoni mpaka kwenye eneo la kutolea haja kubwa "alimentarry canal" ni nyoka aliyejisokota kati.
Wanaofanya yoga, nina uhakika na wewe unaelewa hizi point za unyokanyoka uliomo ndani yetu.
 
Duu haya bana
 
Nitafanya utafiti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…