Baadhi Mitaa Dar iitwe Majaruba!

Baadhi Mitaa Dar iitwe Majaruba!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,731
Majaruba ni neno maarufu sehemu zinazolimwa mpunga hasa 'Usukumani'. Kwa kuwa mitaa mingi ya Dar msimu wa mvua haina tofauti na majaruba (mashamba) ya mpunga, napendekeza tui 'upgrade' mitaa hiyo kwa kuiita majaruba. Mf Jaruba la Msasani, jaruba la Jangwani n.k.
 
naunga mkono hoja na pia wapande mpunga tuu mbona mtavuna magunia mengi
 
Pole sana mkuu umefikwa kisawasawa. Ukiona mtu kafikiria mpaka kukumbuka kwao si mchezo. Hayo yamekufika kwa sababu ukweli ni kwamba darisalama si salama tena. Darisalama imekufa na sasa ni mashamba ya mpunga kama ulivyosema.
Darisalama imeuawa na uongozi wenu wa kuoneana haya katika kutimiza majukumu. Unamwona mtu anajenga mjengo kwenye barabara ya watu wengine, weye unakenua meno kucheka tu kwani amekupa kitu kidogo. Mtu anajenga ukuta kuzuia maji, halafu anamimina msingi mita 6 juu kabla ya kuanza ujenzi wa nyumba huku akijua kuwa mafuriko yatakuja tu, hivyo yasimsumbue, nyiye mmekaa kimyaa ati ana vihela vyake vya escrow.
Sintamsahau yule mama mh. mkubwa vile alifunga barabara kwa ajili watu wasione anachojenga, mwisho ile njia imejakufa kienyeji. Darisalama mhhhhh. RIP darisalama umekufa na uzuri wote ulee
 
Kuna wale wakujisifia kuwa eti wanakaa town,kinondoni sijui mara uzunguni maisha bora sasa hivi mbona hawanyajui mdomo,sisi huku tunaoambiwaga uswahilini Temeke tumetulia kwa raha zetu na tunaombea mvua isikate mpaka December ili tuheshimiane kwa vitendo hapa Mjini.
 
Majaruba ni neno maarufu sehemu zinazilimwa mpunga hasa 'Usukumani'. Kwa kuwa mitaa mingi ya Dar msimu wa mvua haina tofauti na majaruba (mashamba) ya mpunga, napendekeza tui 'upfrade' mitaa hiyo kwa kuiita majaruba. Mf Jaruba la Msasani, jaruba la Jangwani n.k.

kali hiyo
 
Na mitaa wanayouwawa albino huko kanda ya ziwa pendekeza jina
 
Kuna wale wakujisifia kuwa eti wanakaa town,kinondoni sijui mara uzunguni maisha bora sasa hivi mbona hawanyajui mdomo,sisi huku tunaoambiwaga uswahilini Temeke tumetulia kwa raha zetu na tunaombea mvua isikate mpaka December ili tuheshimiane kwa vitendo hapa Mjini.
Na utawasikia unakaa mbalii... Utadhani wao wana viwanja posta...
 
Majaruba ni neno maarufu sehemu zinazolimwa mpunga hasa 'Usukumani'. Kwa kuwa mitaa mingi ya Dar msimu wa mvua haina tofauti na majaruba (mashamba) ya mpunga, napendekeza tui 'upgrade' mitaa hiyo kwa kuiita majaruba. Mf Jaruba la Msasani, jaruba la Jangwani n.k.

Wabongo tupo nyuma kichizi,wenzetu wanafanya Land reclamation,lkn sisi kuweka tu miundo mbinu ya kuzuia mafuriko tumeshindwa.bongolalaaaaaa!.
 
Back
Top Bottom