Baada ya Yanga kutolewa,hiki ndo ninachokiamini...

Baada ya Yanga kutolewa,hiki ndo ninachokiamini...

Cjui kama Wachezaji wa Yanga wanajua ni kwa kiwango gn wametusononesha Watanzania wenye mapenzi na nchi yetu,cjui...
Ingekuwa vema baada ya kurudi wangeitisha Press kututaka radhi...tunafahamu kuwa mchezo wa mpira wa miguu una matokeo ya aina 3 lkn ni kwa namna gn wame'fall ktk 1 ya matokeo haya ndo tunacholalamikia Watanzania
 
Watani Rudini nyumbani tuandike katiba mpya...Nyie ni wa hapa hapa tu
 
Cjui kama Wachezaji wa Yanga wanajua ni kwa kiwango gn wametusononesha Watanzania wenye mapenzi na nchi yetu,cjui...
Ingekuwa vema baada ya kurudi wangeitisha Press kututaka radhi...tunafahamu kuwa mchezo wa mpira wa miguu una matokeo ya aina 3 lkn ni kwa namna gn wame'fall ktk 1 ya matokeo haya ndo tunacholalamikia
Watanzania

Sio mapenzi ya nchi wewe jamaaa.....mapenzi ya Yanga hapo sawa.............Watanzania sio wajinga kiasi hicho
 
Muulize John Terry final UEFA na Roberto Baggio Final ya Kombe la Dunia au Bastian Schweinsteiger final za UEFA na Abuubakar Salum SURE BOY Kagame Cup Final Zanzibar. Jinsi penati ya mwisho inavtokuwa kaa la moto

Au tumuulize Christopher Alex masawe alivyopiga penalty ya mwisho na Zamalek
 
Tumepoteza mechi tayari nakila mmoja anathimini yake,lakini kwangu naona ni hatua moja mbele na kubwa katika maendeleo ya mpira wa nyumbani..hii imedhihirisha ubora wa ligi ya ndani japo inamapungufu mengi,kingine Yanga tumepiga hatua kubwa kisoka kutoka kwenye underdog mpaka hapa ambo any time at nay way we can face any big challenge and about 85.5% we deserve to win ..soccer la bongo limebadilka na linakuwa naweza kusema sisi ndio tunaongaza katika huu ukanda wa afrika mashariki kwa kuwa na ligi bora na tim bora..Next season tutashiriki michuoano hii kwa mara ingine and i hope primary round lazima CAF atupangie tim ngumu ilituwaonyeshe makali yetu..naamini mwakani tunafika final kabisa kama uongozi wa Dar Young African watakuwa namalengo madhubuti kabisa ya kuifanya yanga kusogea kutoka hatua ya leo tuliopo..Asante Manji na jpo lako sasa hii ndio Yanga wengi tulio taraji
 
usifanye mambo kwa mazoea mkuu. Unaposeama yanga ilikuwa akiwango kwa mechi zote mbili unamaanisha nini? Sina uhakika kama jana umeangalia mpira. Maneno haya yaonyesha dhahiri kwamba uliangalia mechi roho ikiwa si yako kwa muda. Mi niliona mmekimbizwa sana sasa sijui hii tahmini umeipata wapi. mechi ya mwanzo jamaa walijua walichokuwa wakikifanya mkatawala karibu dakika 80 za mchezo. Jipangeni mwaka huu mchukue ubingwa kisha mkaishie round ya pili kama kawaida yenu mwakani kukiwa na angalizo kuwa mwaweza anza na waarabu tena.
 
usifanye mambo kwa mazoea mkuu. Unaposeama yanga ilikuwa akiwango kwa mechi zote mbili unamaanisha nini? Sina uhakika kama jana umeangalia mpira. Maneno haya yaonyesha dhahiri kwamba uliangalia mechi roho ikiwa si yako kwa muda. Mi niliona mmekimbizwa sana sasa sijui hii tahmini umeipata wapi. mechi ya mwanzo jamaa walijua walichokuwa wakikifanya mkatawala karibu dakika 80 za mchezo. Jipangeni mwaka huu mchukue ubingwa kisha mkaishie round ya pili kama kawaida yenu mwakani kukiwa na angalizo kuwa mwaweza anza na waarabu tena.

Mwakani kama hawajaanza na Tp mazembe au Esperance sijui
 
Mwakani kama hawajaanza na Tp mazembe au Esperance sijui

naomba waanze na mazembe tuwaonyeshe jinsi sherehe inavyokuwa kwani nakumbuka sana zile jezi za mazembe zilivyouza mwaka msimbazi walipokutana nao na kutolewa nao.
 
mpaka sasa siamini kama Yanga haijavuka, huenda wapekue kuna mchezaji wa Al Ahly sio halali, yaani baada ya Dida kupangua penati ya kwanza nikajua shughuli kwishney
 
Ivi nyie mamburura mburura mnao isema yanga mwatoka msitu wanchi gan? Conco, brazil au vietnam...? Mburura nyinyi.
 
yawezekana Al Ahly walikuwa wachovu, sitaki kuamini hivyo, na kama utataka niamini hivyo basi kiwango cha Yanga kimekuwa kuliko timu nyingi africa, juzi tu Al Ahly imetoka kuchukua kombe la ufunguzi wa mashindano hayo dhidi ya timu ya uko Tunisia, sasa kama unakiri Yanga walikuwa vizuri kwa nini usiupongeze uongozi ? badala yake unalaani uongozi
Kwa kweli inasikitisha na inakatisha tamaa..., Al Ahly walikuwa weupe na wabovu kabisa!! Yanga wanakikosi kizuri na bora lakini mbinu na umakini ni zero... Kikosi hiki na mazingira kama haya wangekuwa Simba tungekuwa tunazungumza mengine sasa hivi...!!

Tatizo la YANGA ni uongozi kuendeshwa kwa porojo za kwenye magazeti badala ya kujiwekea mikakati ya ushindi uwanjani... Wamemsakama Bin Zubeiry na kuwatangazia wanaYanga wasusie blog yake, kisa amewaandika vibaya!!!? Upuuzi kama huu hutasikia hata siku moja kwa viongozi wa Simba!!
 
Maneno ya mkosaji ,mpira hauchezwi magazetini kajipangeni upya. REST IN HELL YANGA.

Hii ni comment ya hovyo kabisa niliyowahi kukutana nayo tangu mwaka huu umeanza. Hongera sana kwa kuongoza!!
 
attachment.php
 
Yanga imetolewa kwa penalt na bingwa mtetezi Al-Ahly ya Misri katika mazingira ambayo wenyewe walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuvuka,kwasababu zifuatazo:-
1. Binafsi ninaamini ki'viwango Yanga ilikuwa vizuri kuliko Al-Ahly, mechi zote 2 ya Dar-es-salaam na ya Misri zinathibitisha hilo.
2. Kisaikolojia walikuwa vizuri kuliko wapinzani wao kwani katika mechi 5 za mwisho kabla ya mechi ya leo Yanga walikuwa wameshinda zote ukilinganisha na wapinzani wao walioshinda 1,wakadroo 1 na kufungwa 3,kwahiyo spirit ya ushindi ilikuwa imewaweka vizuri zaidi Yanga kuliko Al-Ahly.
3.Katika msimu huu Yanga imekusanya wachezaji wote makini ambao team ya level yake ingehitaji kuwa nao,wachezaji ambao wangetosha kuiweka Club yao kwenye ramani ya soka la Africa just kwa kumtoa bingwa mtetezi tu.
4.Financially Yanga iko vizuri,wanapata kila kitu wanachohitaji kutoka kwa Viongozi wao ikiwemo mishahara kwa wakati,posho kwa matokeo mazuri na maandalizi yanayoeleweka,kambi ya Uturuki ni uthibitisho wa hili, ukilinganisha na wapinzani wao ambao inasemekana wamechoka kweli.
5.Walikuwa na akiba ya ushindi wa nyumbani wa goli 1-0
6.Kuwang'oa Waarabu wanaosadikika kuweka record fulani ya Dunia kungewafanya wachezaji wa Yanga kuwa gumzo hivyo kuwa kwenye nafasi ya kijiweka sokoni zaidi kuelekea kwenye soka la kimataifa.
Inasikitisha sana kuona team yenye kila kitu inashindwa kuvuka kikwazo cha team isiyo kwenye kiwango kama ya Al-Ahly hii ya sasa hivi,uzembe,uzembe,uzembe....
Kwanini uzembe:-
1. Kwajinsi Al-Ahly walivyocheza game ya Dsm,Yanga walikuwa na uwezo wa kupata ushindi wa zaidi ya goli moja...umakini zaidi na ufahamu wa kutambua umuhimu wa ushindi wenye afya unapocheza nyumbani ulikuwa unaweza kuwapatia Yanga ushindi wa si chini ya magoli ma'3 siku ile,magoli mawili tu yangetosha kuwang'oa waarabu.
2.Katika mechi ya muhimu kama ile...mpinzani wako anatangulia kukosa penalt mara 2,mara zote na wewe unakosa ku'equalize ni uzembe unaosikitisha sana.
3. Nk,nk
Ninapata mashaka, kwa kushindwa kuwang'oa Waarabu mwaka huu inaweza kupita miaka hata 50 kwa Yanga kuja kuwatoa Waarabu kwenye mashindano ya kimataifa.
Xssyyyyzzzzzuu!!!!!!!!
Watu wagumu kuelewa nyie ! mfadhili wenu alisema mpeni uenyekiti alipize MKONO kwa Simba ! Kawekeza mamilioni kw asababu hiyo leo mnataka nini tena! Kuwafunga AHLY,AU COMMOROZINE HAIKUWA KWA TARGET ZAKE ,NI CONCIDENCE TU!hATA HIVYO BAHATI HII YA MTENDE HAMTAIPATA TENA NA IKIZINGATIE MWISHO WA HIMAYA NA MONOPOLY YENU YA USANII KWENYE SOKA LA BONGO NI OCTOBER 2015! jANA NIMELALA USINHGIZI MZURI SANA !
 
Back
Top Bottom