Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Yanga imetolewa kwa penalt na bingwa mtetezi Al-Ahly ya Misri katika mazingira ambayo wenyewe walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuvuka,kwasababu zifuatazo:-
1. Binafsi ninaamini ki'viwango Yanga ilikuwa vizuri kuliko Al-Ahly, mechi zote 2 ya Dar-es-salaam na ya Misri zinathibitisha hilo.
2. Kisaikolojia walikuwa vizuri kuliko wapinzani wao kwani katika mechi 5 za mwisho kabla ya mechi ya leo Yanga walikuwa wameshinda zote ukilinganisha na wapinzani wao walioshinda 1,wakadroo 1 na kufungwa 3,kwahiyo spirit ya ushindi ilikuwa imewaweka vizuri zaidi Yanga kuliko Al-Ahly.
3.Katika msimu huu Yanga imekusanya wachezaji wote makini ambao team ya level yake ingehitaji kuwa nao,wachezaji ambao wangetosha kuiweka Club yao kwenye ramani ya soka la Africa just kwa kumtoa bingwa mtetezi tu.
4.Financially Yanga iko vizuri,wanapata kila kitu wanachohitaji kutoka kwa Viongozi wao ikiwemo mishahara kwa wakati,posho kwa matokeo mazuri na maandalizi yanayoeleweka,kambi ya Uturuki ni uthibitisho wa hili, ukilinganisha na wapinzani wao ambao inasemekana wamechoka kweli.
5.Walikuwa na akiba ya ushindi wa nyumbani wa goli 1-0
6.Kuwang'oa Waarabu wanaosadikika kuweka record fulani ya Dunia kungewafanya wachezaji wa Yanga kuwa gumzo hivyo kuwa kwenye nafasi ya kijiweka sokoni zaidi kuelekea kwenye soka la kimataifa.
Inasikitisha sana kuona team yenye kila kitu inashindwa kuvuka kikwazo cha team isiyo kwenye kiwango kama ya Al-Ahly hii ya sasa hivi,uzembe,uzembe,uzembe....
Kwanini uzembe:-
1. Kwajinsi Al-Ahly walivyocheza game ya Dsm,Yanga walikuwa na uwezo wa kupata ushindi wa zaidi ya goli moja...umakini zaidi na ufahamu wa kutambua umuhimu wa ushindi wenye afya unapocheza nyumbani ulikuwa unaweza kuwapatia Yanga ushindi wa si chini ya magoli ma'3 siku ile,magoli mawili tu yangetosha kuwang'oa waarabu.
2.Katika mechi ya muhimu kama ile...mpinzani wako anatangulia kukosa penalt mara 2,mara zote na wewe unakosa ku'equalize ni uzembe unaosikitisha sana.
3. Nk,nk
Ninapata mashaka, kwa kushindwa kuwang'oa Waarabu mwaka huu inaweza kupita miaka hata 50 kwa Yanga kuja kuwatoa Waarabu kwenye mashindano ya kimataifa.
Xssyyyyzzzzzuu!!!!!!!!