Baada ya Wizara ya elimu kupitia NACTE kukagua vyuo na kufungia baadhi ya vyuo, zoezi hilo kuhamia Shule binafsi kupitia ukaguzi na uthibiti wa ubora wa shule.
Kila nikizifikiria shule zinazoendeshwa huku zikiwa ICU, hili panga litakuwa kubwa zaidi. Shule za serikali zilizokuwepo kama hazipo, wataguswa! Na huu mchakato wa ulazima wa sayansi wakati watu hawana maabara! Balaa linakuja!