Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

Anaotaka kuwawekea hawamtaki sasa. Aje huku kwetu aweke hata 100G, kwanza hata hatufahamu ni nini, ata akiweka 1G nani atahoji, aache kulazimisha asipotakiwa. Mbona sisi tunawapenda wachina ni marafiki zetu, why hawaji Tanzania na hiyo 5G yao.
Wanaweka 5G kwa ajili ya viwanda vinavyotumia internet connection ya fastest. Sasa Tanzania mnataka 5g kwa ajili ya Facebook, Instagram, Twitter, youTube. Shame on you
 
Wanaweka 5G kwa ajili ya viwanda vinavyotumia internet connection ya fastest. Sasa Tanzania mnataka 5g kwa ajili ya Facebook, Instagram, Twitter, youTube. Shame on you
Hahaha shame on us, hatuna viwanda unadhani Facebook, na Instagram hazihitaji fast internet?!
 
Hapa tuna cha kujifunza,jiwe inabid awape bajet majasus wetu waende China na us waende kuiba tech ya kutengeneza beli na jinz ukizingatia tuna raw material ya kufa mtu.
🤣 🤣🤣🤣 Hicho sicho kipaumbele chao, wao ni kuumaliza kabisa upinzani ndio the topagenda.
Hayo ya kutengeneza sijui majitu gani mnayajua wenyewe.
 
Back
Top Bottom