Baada ya vikwazo vingi tunafunga ndoa mwaka mpya

mimi sina kikwazo na kuolewa kwako, japo nikinyume cha maadili kuwa na mahusiano na mama yako....
 
Hiii Ina nikumbusha ndoa mheshimiwa mbunge wa vitii maalum mkoa wa pwani mwenyeji wa Bagamoyo na kijana wa chuo
 
Unasema hujampendea pesa na hapo unajisifia maisha yamebadilika kutokana na huyo bibi hadi ndugu zako wanakuonea gere, unabadilisha magari ya kwake,unaishi kwenye nyumba nzuri ya kwake na unafurahia kabisa then hapo hapo unatuambia hujampendea pesa, unajichanganya tu
 
Punguza uwivu sumbai...
 
Baada ya muda utakuja na malalamiko kibao ukisema kuwa sasa yamekukuta yale ambayo ulipaswa kuwasikiliza. We endelea kubadilisha magari na ujengewe nyumba na huyo bibi. Na huyo bibi umri wa kuzaa haupo najua unapepesa macho hizo mali alizochuma bibi huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…