Baada ya uzinduzi wa kihistoria jana

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Baada ya uzinduzi wa kihistoria ya wana ukawa jana jangwani.Ambao haujawahi kutokea tangu uhuru,baadhi ya vyama pinzania na ukawa vyarusha mawe mitandao ya kijamii,hii inaonesha kuwa wameshindaa.Unapomshinda mtu katika mpambano moja ya njia ni kurusha mawe.Pia mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe na kila mtu.Wataisoma namba mwaka huu
 
walizindua wao kesho yake habari ikafunikwa kwa mjtu kupanda daladala stori yao ikafa kifo kitakatifu, kuanzia jana jioni wameajiri vijana wengi kwenye mitandao ya kijamii ili kufuta stori ya jana bt ukweli utabaki vile ulivyo kwamba haijawahi kutokea umati mkubwa kama ule ktk historia ya taifa tangu kuzaiwa kwake. vijana hawa wanaotumiwa na wanaojua kuwatumia wamepewa namba maalumu katika Id zao japo pia wengi wao inaonyesha bado wageni na hawajiwezi kwa hoja

Back
Top Bottom