GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Ni wazi kuwa leo CCM watashinda kwa kishindo katika uchaguzi huu unaofanyika Huko zanzibar. swali nalojiuliza baada ya uchaguzi kupita na ccm wakatangazwa washindi nini kitaendelea kwa siasa za zanzibar? je cuf wataanza kujiandaa kwa ajili ya mwaka 2020? je maalim atakuwa ni yule yule mwka huo na mgombea tena wa urais?
zanzibar itaendelea kama kawaida baada ya leo na ccm hawadhurika kwa lolote. TUTEGEMEE NINI KUTOKA CUF?
zanzibar itaendelea kama kawaida baada ya leo na ccm hawadhurika kwa lolote. TUTEGEMEE NINI KUTOKA CUF?