wakati wa kuomba aibu hakuna, ukishashiba sasa aibu zinatoka wapi? wewe nawe una matatizo. mie najua kuomba ndio wengi wanakua mdomo zege hasa kama ndio unataka kwa mara ya kwanza.
Mimi nikishamaliza hua nahitaji nipewe tena na tena,
hata nilikwenda kwa Babu nikanywa kikombe hali hiyo inipungukie sasa ndiyo imeongezeka,
sindwa kusangaa!
Sindwa kusangaa!
Moja kati ya vilivyomfanya anizimie ni ligwaride nnalompa ! Lastwik nililipunguza alininuniaje !
Nikalazimika kulihuisha kwa Kasi mpya , Ari mpya na Nguvu ..... (Malizia mwenyewe) ni kwata tu, mwisho- mwanzo !
mbaya zaidi ukute demu mwenyewe ulikuwa unamfukuzia siku nyingi, yaani baada ya kupata kile 'kikombe cha uji' unabaki unajuliza hivi ni kipi kipya nilichopata hapa, agrrrrrrrrrrrrrr!