OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Watu wa tabora wana mpa uchifu mtu mwizi!!!!
mimi bado sielewi kabisa strategic plans za el ziendavyo na nini matokeo yake baadae, am totally blind.
mkuu umewasahau kina membe,sitta,na maghufuli!wap slaa na yeye apewe uchifu?
wap slaa na yeye apewe uchifu?
Mwizi alishawahi kukuibia nini?naona we unakalia majungu wakati wenzako wanazidi kumkubali.
Lowassa akiwa kwa chairman Hamis Mgeja Shinyanga ni sawa yupo Monduli juu, akina Lembeli wanatafuta blanket kwenye Jua la Utosi, kumkataa Lowassa ni kugomea Matokeo ya Uchaguz Mkuu! Hata kura Zikipigwa na Bavicha peke yao Lowassa lazima aibuke Kidedea!