Baada ya Sumbawanga, leo saa saba mchana ni Mpanda, team ya Nchemba

mi namhurumia stephen Wasira badala ya jimbo lake liko rehani yeye amekalia kuimarisha kwa wenzake mpanda yetu macho 2015
 
Huyo ni mgonjwa anayekaribia kufa lazima atarusharusdha miguu kama anaishi vile kuimbe ndo anakufa hivyo
 
Kuwazomea haitoshi, ikibidi wapondeni mawe muwaue kama mlivyofanya huko Iramba.

Kwa hiyo huyo mmoja wa Iramba amekuuma sana kuliko waliouawa Igunga, Arumeru na kwingine kote nchini kwa sababu za CCM?
 
Back
Top Bottom