Baada ya Serikali kusema ipo tayari kulipia matibabu ya Lissu; Peter Msigwa, Godbless Lema na Mbowe wakosoa kauli hiyo

Serikali ilipotaka kwanza apitie.muhimbili ni familia iliyosema itakuwa comfortable ikimpeleka ndugu yao...! Kwa hiyo ni famiia yenyewe ndiyo inaweza kuamua kama ina hitaji msaada wa serikali au lah..
Familia inajua kwa sasa nani ni msaada kwao nyie endeleeni kuongea kwenye TV kusubiri barua yenu ya posa wengine tupo Nairobi tukiuuguza.
 
Ninyi wenyewe ndo mlivuruga utaratibu wa serikali ilipotaka impeleke India mkasema hapana tunaomba tumpeleke nairobi. Lema acha bangi!
 
Swali halijapata majibu, Mwanzo walikataa kumtibia kwa kuwa utaratibu haukufuatwa, Sasa hivi wapo tayari kumtibia!! Je ndo kusema utaratibu umefuatwa ?
Acheni uzwazwa na kupelekeshwa na wanasiasa kama mapimbi msiojitambua. Hoja za Lema ni nyepesi sana. Lissu alitakiwa kupata rufaa kutoka muhimbili kama ambavyo viongozi wote aliowataja hapo juu walivyofuata huo utaratibu. Ndugai alifuta huo utaratibu pia na akapata rufaa muhimbili ndo akaenda Nje, hivyo hakukua na haja kwa mkewe au familia kumuombea msaada wa matibabu serikalini wakati alishafuta utaratibu uliomuwezesha kutibiwa nje. Lakini kwa upande wa Lissu, wao CDM wenyewe ndo waliamua kwa hiari yao kufuata utaratibu mwingine kutokana na sababu zao ambazo wamekua wakizitaja kila siku ikiwemo usalama wa mgonjwa n.k. ssa kma uliamua kwa hiari yako Ku opt utaratibu mwingine unaposhindwa unageukaje tena kuilaumu Serikali? Serikali imetoa option kwa familia baada ya kuona chama chake kimegoma kufuata utaratibu ambao ungemuwezesha Lissu kupata matibabu Nje ya nchi huku hali yake bado ikiendelea kuwa critical. Na hata hiyo familia ikiomba bado utaratibu utakua ule ule, lazima taarifa ya madaktari wanaomtibia hivi sasa iende muhimbili ndipo itolewe rufaa ya kumpeleka Nje ya nchi katika hospitali zilizo na mkataba na Serikali au vinginevyo.

Hizo ngonjera zinazopigwa ssa ni baada ya kuona walikosea toka mwanzo ssa wanataka kujikosha kwa kuutupia mzigo Serikali. Wakati mwingine hata kama tunawapendaje viongozi wetu wanapokosea ni lazima tujenge utamaduni wa kuwakosoa.
Ila ukiweka siasa pembeni,spika uwezo wake ni mdogo snaa
 
Serikali ilipotaka kwanza apitie.muhimbili ni familia iliyosema itakuwa comfortable ikimpeleka ndugu yao...! Kwa hiyo ni famiia yenyewe ndiyo inaweza kuamua kama ina hitaji msaada wa serikali au lah..

Kumbuka Familia ya Lissu ni Watanzania wote wanaopenda Utawala wa sheria na Kidemokrasia. Famililia ya Lissu ni Watanzaina wote wanaoguswa na Mbunge kupigwa Risasi hadharani na bunge lisichukue hatua sitahiki. Hatujashindwa kumlipia matibabu, Tutachanga Shilingi MOja moja tutauza hata mali zetu ili Lissu asikose matibabu.

JIULIZE, WEWE JE, UNA FIT KUWA SEHEM YA FAMILIA YA LISU??????
 
Kwani spika hakuanzia Muhimbili?
Ushenzi huo haufai kwa mtz yeyote sembuse na Lissu!! Tofautisha mazingira ya ugonjwa. Ndugai alianza kuugua na madaktari kuanzia bungeni walimuatend na kisha akafuata hizo taratibu za rufaa. Lakini kwa Lissu, ile ilikuwa ni dharura iliohitaji kuokoa maisha na usalama wa mgonjwa, kwa mazingira yale ya kukusudia kumuua yaliokuepo Dodoma huwezi kuwalaumu CDM, kuchukua tahadhari ili mgonjwa wao asiwe sehemu isiyo salama kwa sababu mpaka sasa WASIOJULIKANA hawajasakwa wala hawatapatikana.
 
Kuwa chadema lazima uwe kama m
Wehu.
Spika kachangisha hela 42milioni .kaambulia kejeli eti anachangisha hela kama za harusi.
Serikari inataka kumtibu jamaa .wanasema oomwongo waziri haitaki kusaidia .yaani hawana jema sijui wakoje.wao kila kitu ni kutafuta kiki tu..
kuna kichwa kimoja kimewashikia akili zao, kwasasa kiko Nairobi
 
Afya ya lissu isiingizwe siasa, serikali na wapinzani wasitafute umaruufu, jambo la msingi familia iangalie ndugu yao apate matibabu wapi vinginevyo hili suala litakuwa siasa tuu, halafu hata serikali ifanye kitu gani kwenye matibabu ya lissu kamwe wapinzani hawatalikubali maana ugonjwa wa lissu ushageuzwa ulingo wa siasa.
post of the year, ila kuna kundi linakuja sasahivi kukuogesha matusi, uwe na jumaa njema
 
Back
Top Bottom