akili huna.Wakristo wanaongoza vibaya,ni mtazamo wangu.
Ndio mnaona leo hayo mapungufu ya kikatiba?Nani wa kusimamia hivyo vigezo kama nguvu zote zimelundikwa kwa mtu mmoja tu na hawa wengine ni kupewa maelekezo na kuitikia na kutenda?
Ndio maana hii nchi Ina wajinga wengi kweli kweli mpaka JFDini, kama ilivyo kabila au jinsia, sio sifa wala kigezo cha competence ya kuwa Rais.
That's too low. Ndio maana tumefeli na kukwama mpaka sasa
USSR: Mkuu acha kuandika maneno ya haya! Nadhani mtazamo wako huenda ni finyu na tena wa aibu! Huo mtazamo wako ni kipindi cha chama kimoja ndugu! Embu zangatia sasa ni mfumo wa vyama vingi na kila chama kinaweka mgombea wake bila ya kujali dini embu. Labda hilo wazo lako liwekwe rasmi kwenye kanuni na sheria za uchaguzi! La sivyo .........Wanadai hii haijaandikwa ila inanguvu sana kuliweka taifa pamoja na inalindwa na Baraza la usalama la kitaifa kuwa ni lazima utake usitake unaweza kuita top secret or classified code
Baada ya Nyererea akaja Mwinyi, baada ya mwinyi akaja Mkapa, baada ya mkapa akaja Kikwete, baada ya kikwete akaja magufuli na baada ya kifo cha Magufuli akaja Samia hapa baada ya Samia ni mkristo na hakuna short cut kama unautaka itabidi asubilie ajaye mkristo amalize
Poleni sana watu wa Tanga hii match mmeshindwa mapema labda Wanasingida inaweza ikawa upande wao kipindi hili
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Baada ya Samia Rais 8n Mchagga au Mhaya au Mmakonde. Kila kabila na Rais wake hiyo ndiyo sera ya Majimbo ya CHADEMA. Of course tutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano, tundulissu, akiwa kama picha, figurehead, hana madaraka yoyote hateui mtu yeyote anatukanwa kila siku.Wanadai hii haijaandikwa ila inanguvu sana kuliweka taifa pamoja na inalindwa na Baraza la usalama la kitaifa kuwa ni lazima utake usitake unaweza kuita top secret or classified code
Baada ya Nyererea akaja Mwinyi, baada ya mwinyi akaja Mkapa, baada ya mkapa akaja Kikwete, baada ya kikwete akaja magufuli na baada ya kifo cha Magufuli akaja Samia hapa baada ya Samia ni mkristo na hakuna short cut kama unautaka itabidi asubilie ajaye mkristo amalize
Poleni sana watu wa Tanga hii match mmeshindwa mapema labda Wanasingida inaweza ikawa upande wao kipindi hili
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
π€£π€£Hapana baada ya samia kumaliza ni muislam coz anamalizia awamu ya mkristo!!
Hii ni awamu ya mkristo inayomaliziwa!!
Mi NADHANI hivyo,
Maoni huru Lakini haya! Ya mlipa kodi asiekwepa!
Haya we unaejua unanuka maziwa ya bibUmezaliwa juzi Bado unanuka maziwa ya mama huwezi kujua haya
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Nenda kajifunze upya kuhusu sera na serikari za majimbo.Baada ya Samia Rais 8n Mchagga au Mhaya au Mmakonde. Kila kabila na Rais wake hiyo ndiyo sera ya Majimbo ya CHADEMA. Of course tutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano, tundulissu, akiwa kama picha, figurehead, hana madaraka yoyote hateui mtu yeyote anatukanwa kila siku.
Kwa waislamu, jee kuna wa madhehebu ya Shia au Ibadhi ambaye ameomba uraisi? Labda utufafanulie hapo.Engekuwa vizuri ukasema ni utaratibu wa kupokezana Wakatoliki na Wasunni.
Kwa waislamu, jee kuna wa madhehebu ya Shia au Ibadhi ambaye ameomba uraisi? Labda utufafanulie hapo.
Kwa taarifa tu, asilimia zaidi ya tisini ya waislamu wa afrika ya mashariki ni wa Sunni.
πππUna uhakika kua 2025 atapitishwa yeye!!?au umeshaaongea na Mungu juu ya hatma yake!!?
Subiri KWA saburi Mkuu
Kunako majaaliwa mkuu Mungu ana maajabu yake!!