Umezaliwa juzi Bado unanuka maziwa ya mama huwezi kujua hayaSERIKALI HAINA DINI
Hapana baada ya samia kumaliza ni muislam coz anamalizia awamu ya mkristo!!Umezaliwa juzi Bado unanuka maziwa ya mama huwezi kujua haya
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Kwani ishu ni awamu au mtu kumbuka Samia atakuwa ametawala miaka 9 na miaka 6 ya umakamu inamaana atakuwa amekuwa kwenye urais Kwa miaka 15Hapana baada ya samia kumaliza ni muislam coz anamalizia awamu ya mkristo!!
Hii ni awamu ya mkristo inayomaliziwa!!
Mi NADHANI hivyo,
Maoni huru Lakini haya! Ya mlipa kodi asiekwepa!
Una uhakika kua 2025 atapitishwa yeye!!?au umeshaaongea na Mungu juu ya hatma yake!!?Kwani ishu ni awamu au mtu kumbuka Samia atakuwa ametawala miaka 9 na miaka 6 ya umakamu inamaana atakuwa amekuwa kwenye urais Kwa miaka 15
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Awamu ya mkristo ilikuwa ya Tano sasa tupo awamu ya Sita.Hapana baada ya samia kumaliza ni muislam coz anamalizia awamu ya mkristo!!
Hii ni awamu ya mkristo inayomaliziwa!!
Mi NADHANI hivyo,
Maoni huru Lakini haya! Ya mlipa kodi asiekwepa!
Huyo hana betri kwenye moyo mzeeUna uhakika kua 2025 atapitishwa yeye!!?au umeshaaongea na Mungu juu ya hatma yake!!?
Subiri KWA saburi Mkuu
Kunako majaaliwa mkuu Mungu ana maajabu yake!!
Kwa mujibu wa kakuni za CCM Rais aliye madarakani hapingwi wala kupigiwa kuraUna uhakika kua 2025 atapitishwa yeye!!?au umeshaaongea na Mungu juu ya hatma yake!!?
Subiri KWA saburi Mkuu
Kunako majaaliwa mkuu Mungu ana maajabu yake!!
Maika 9 inamtosha sana na ile sita ya umakamuAwamu ya mkristo ilikuwa ya Tano sasa tupo awamu ya Sita.
Samia anamaliziaje awamu ya Tano ya mkristo?
Kipara abatizwe tu halafu akiukwaa arudi alikotoka.
Huko Mimi simoEngekuwa vizuri ukasema ni utaratibu wa kupokezana Wakatoliki na Wasunni.
Awe Mkristo au Muislamu ili mradi tu asiwe tena na matatizo ya akili
Wakristo wanaongoza vibaya,ni mtazamo wangu.Wanadai hii haijaandikwa ila inanguvu sana kuliweka taifa pamoja na inalindwa na Baraza la usalama la kitaifa kuwa ni lazima utake usitake unaweza kuita top secret or classified code
Baada ya Nyererea akaja Mwinyi, baada ya mwinyi akaja Mkapa, baada ya mkapa akaja Kikwete, baada ya kikwete akaja magufuli na baada ya kifo cha Magufuli akaja Samia hapa baada ya Samia ni mkristo na hakuna short cut kama unautaka itabidi asubilie ajaye mkristo amalize
Poleni sana watu wa Tanga hii match mmeshindwa mapema labda Wanasingida inaweza ikawa upande wao kipindi hili
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Singida shida ni KKKT na inatakiwa romanWanadai hii haijaandikwa ila inanguvu sana kuliweka taifa pamoja na inalindwa na Baraza la usalama la kitaifa kuwa ni lazima utake usitake unaweza kuita top secret or classified code