Baada ya rafu kadhaa nimepimwa

Baada ya rafu kadhaa nimepimwa

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Katika maisha yangu ya kila siku hasa katika uchakataji mbususu baada ya kucheza rafu za hapa na pale hatimae nikakosa confidence ya kuweza kusimama na kujiona mzima wa afya.

Basi huku na huku nikawa nimeumwa na kwenda kutibiwa kwenye hospital binafsi ya family friend wetu Basi huyu mzee akawa kanichukua damu na kunipima vipimo vyote na kukutwa na typhoid pamoja na amiba Basi nikapewa dawa pale na kuwa chini ya uangalizi.

Wakati wote huo dokta anajua kuwa mtu mzima ni negative ila anashindwa jinsi ya kuniambia llkn kwa taaluma yao anatafuta angle Hadi akaniambia [emoji38][emoji38] na kunipa pongezi kuwa nalinda afya kiukweli nilifurahi Sana na kujiona mpya Kama ndio nimezaliwa muda huo.

Baada ya kunijua kuwa nipo vizuri kiafya na kuanza kutembea mwendo mdundo Oda za mbususu ndio Kama nimeziamsha zinataka gegedo langu na huku Mimi binafsi hamu ya kushiriki mapenzi imeshuka kwa kiwango kikubwa Sana yaaani najiona kabisa vile siwezi dindisha na kutia aibu yaaani dharau juu ya wanawake ndio imeongezeka Mara dufu na kuwaona ni watu waleta matatizo tu na kuona Bora niendelee kumkuna wife tu Hawa wengine niishie kuwaona tu na kuwaita mashemeni sitaki mbunye sitaki mbunyeee narudia tenaaa sitakiii mbunyeeeee wakina Dada am sorry sitaki mbunyeeeee zenu
 
Mile 45 nichache sana. Kwakuwa umekutana ba road brock tulia hapo tu baada ya injini kupoa uebdelee ah mi dadala ya kusoma uji nimesoma i,d yako bwana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hongera Sana Mkuu, MUNGU wetu ana huruma sana, yaani huwa nikitafakari michezo michafu niliyocheza na bado unakuta upo safe,huwa natokwa machozi yaliyobeba Shukurani kwa MUNGU huku nikidhamiria kufanya toba ya kiwango cha juu sana,lkn bahati mbaya zikipita siku chache najikuta nimerudi kulekule.Mungu anisamehe.
 
Hongera kwa kuahidi kuacha zinaa. Ila kumbuka kuahidi na kutimiza ahadi ni vitu viwili tofauti. Jitahidi, huku ukimwomba Mungu utimize ahadi yako.
 
badala udharau mpini wako kwa kutotulia unadharau wanawake wakati na mkeo si mbuzi.

Kenge we.
 
Wengi hua kupima inatokea dharula tu imebidi na pia ni bila kujua anakua amechukuliwa tu sample Majibu yanaletwa[emoji23]

Ila kwa hiyari mmh ni kamtihani sana
 
Back
Top Bottom