Tanzania kilichotokea ni wendawazimu km tunavyofanya mambo ya kibepari kwa fikra za kijamaa. Uchaguzi wa Tanzania kilichobaki ni DONT ASK DONT MENTIONNaona kwa Tanzania umemtaja JK....je kwa mwaka 2015 kati ya Magufuli na Lowassa nani populist?radicals?...kweli watanzania awamu hii waliepuka unafki wa populist,CCM walichinja populist....ha ha ha.Leo umetoa mawazo kuntu.
HIllary anadhani Trump ni mjinga km anavyotaka waambia watu, ndio hayo hayo ya CCM kusema Lema ni Mjinga, halafu anawapiga bao kila akitaka. Trumpa najua karata ya Clinton na media ni kuwaambia watu jamaa katukana wanawake ili kura za wanawake ziende kwao. Hawajui wanawake si wazuri kuwapigia wenzao kura, pia wanawaeke ktk midomo hupenda wanaume ma Gentlemen ila ktk vitendo kuwachagua hustlers.Post nzuri sana kk, kiukweli dunia sasa tumechoka unafiki, sasa radicals wanahitajika kuliko msimu wowote, me nasubiri Trump ashinde nipate wisk nzito munoo huku nikiwa na matumaini mapya kwamba sasa nyekundu inaenda kuitwa nyekundu na nyeusi ni nyeusi, tumechoka uchumi wetu uko chini ala tunaambiwa unaimarika. Ila kale kamama Hilary kakishinda ni muendelezo wa unafiki
Je mwaka 2020 bado Chadema itamsimamisha populist?.....Tanzania kilichotokea ni wendawazimu km tunavyofanya mambo ya kibepari kwa fikra za kijamaa. Uchaguzi wa Tanzania kilichobaki ni DONT ASK DONT MENTION
off course yes. Kwa sasa haitokuwa rahisi kwa wapuuzi kujificha ktk dini, kabila, ulemavu sijui nia njema, kwani haototosha mtu kujificha ktk dini, jinsia, rangi etc .Anapoulizwa kuhusu uuovu wake. Hata hawa wapuuzi wa kiafrica kujitoa ICC kwa madai kwamba wanalengwa ili wazidi kandamiza wanyonge,itakuwa si kichaka tena. Sasa watu watasukumwa kuwa responsible..huwezi acha kuwajibika ukidhani utajilinda nashutumiwa kwa vile mimi ni wa dini fulani, jinsia fulani, rangi fulani.bahati mbaya nchi nyingi zilikuwa zinaangukia kwa mapopulist wajinga na wasio na misimamo Zuma na Dhilma wamejikuta katika hali mbaya sana ya kisiasa muda wote.
hapa kwetu mapopulist hawakuwa na misimamo wakaishia kutangatanga kama mchagua mitumba sokoni kila nguo aiona nzuri akifungua anaona nyingine anaiacha ya kwanza mwisho wa siku kuzichafua zikaonekana hazifai kuvalika tena.
swali je hawa maradical wataweza kuifanya kazi ya kulisafisha jahazi (dunia) lilonyewa na hawa populists na unafiki wao?
Ulikuwa jela? Naona mzimu wa JK unakutafuna JK hagombei tena urais unaogopa kumtaja Dr.Magufuli na fisadi wenu Lowassa.Miaka zaidi ya kumi nyuma tulishughudia kipindi cha populists wakichaguliwa kwa fujo duniani.. Hawa jamaa walichaguliwa bila hata kupimwa.Na aliyehoji uwezo wao alipata shutuma na upinzani mkubwa sana toka ktk umma. Ndio kipindi tuliwapata akina JK, Obama, na DJ kule Madagascar, David Cameron kule Uingereza etc. Ufanisi wao wao tuliuona.
Sasa wamekuja radicals ambao walizomewa km watu wenye chuki wachonganishi etc. Ila dunia inachoka unafiki km bahari inavyochoka mizoga. Radicals km Donald Trump, Diurtete kule Philippines, na wengine wengi sasa ndio wanakwenda shika dunia. Pengine dunia itaupa unafiki break kidogo ili mambo yaende kiuhalisia kidogo. Kwa Africa ni kipindi cha Neema, rais mwenye kusema na kutenda kweli inayouma kwa viongozi wetu atasukuma issue mbele kidogo.
Kwa wale walilelewa kwa philosophia za UDSM kaene mkao wa kula. Mtaambiwa mabaya mengi sana na hawa wachambuzi, kwa vile siku zao za kudanganya watu kabla ili kulinda watawala, ila siku zao zinahesabika sana.
Propaganda za kijamaa hazina tena nafasi ktk dunia huru.
Waandishi wapuuzi na wenye hila au uwezo mdogo nafasi yao inaondolewa ktk jamii. Media za magahribi na kasuku wao Africa walishambulia na kuuliza maswali yasio ya haki .Km wanavyofanya kwa wapinzani ktk hizi nchi zetu wakidhani wanaokoa roho za fikra maarufu, fikra za mkumbo, dunia nzima fikra za pamoja,fikra maarufu zimethibitika kwamba ni upuuzi na ujinga. Hata ktk mabunge yetu, ktk jamii zetu, fikra mgando,fikra za pamoja na kulindana hazina tena mashiko. Sasa wajenga hoja,wenye kujiamini wanapiga bao.Watasema na kuoingwa kushambuliwa, ila kadiri wanashambuliwa ndivyo ukweli wa matukio unavyozidi jidhihirisha. Mwishowe inakuwa ngumu sana kwa wanafikiri na wafuata mkumbo kukataa hoja
Lakini je kwa mkusanyiko huu wa radicals dunia itabaki salama?off course yes. Kwa sasa haitokuwa rahisi kwa wapuuzi kujificha ktk dini, kabila, ulemavu sijui nia njema, kwani haototosha mtu kujificha ktk dini, jinsia, rangi etc .Anapoulizwa kuhusu uuovu wake. Hata hawa wapuuzi wa kiafrica kujitoa ICC kwa madai kwamba wanalengwa ili wazidi kandamiza wanyonge,itakuwa si kichaka tena. Sasa watu watasukumwa kuwa responsible..huwezi acha kuwajibika ukidhani utajilinda nashutumiwa kwa vile mimi ni wa dini fulani, jinsia fulani, rangi fulani.
Donald Trump kazidi, akichaguliwa atatusumbua sana AfricaMiaka zaidi ya kumi nyuma tulishughudia kipindi cha populists wakichaguliwa kwa fujo duniani.. Hawa jamaa walichaguliwa bila hata kupimwa.Na aliyehoji uwezo wao alipata shutuma na upinzani mkubwa sana toka ktk umma. Ndio kipindi tuliwapata akina JK, Obama, na DJ kule Madagascar, David Cameron kule Uingereza etc. Ufanisi wao wao tuliuona.
Sasa wamekuja radicals ambao walizomewa km watu wenye chuki wachonganishi etc. Ila dunia inachoka unafiki km bahari inavyochoka mizoga. Radicals km Donald Trump, Diurtete kule Philippines, na wengine wengi sasa ndio wanakwenda shika dunia. Pengine dunia itaupa unafiki break kidogo ili mambo yaende kiuhalisia kidogo. Kwa Africa ni kipindi cha Neema, rais mwenye kusema na kutenda kweli inayouma kwa viongozi wetu atasukuma issue mbele kidogo.
Kwa wale walilelewa kwa philosophia za UDSM kaene mkao wa kula. Mtaambiwa mabaya mengi sana na hawa wachambuzi, kwa vile siku zao za kudanganya watu kabla ili kulinda watawala, ila siku zao zinahesabika sana.
Propaganda za kijamaa hazina tena nafasi ktk dunia huru.
Waandishi wapuuzi na wenye hila au uwezo mdogo nafasi yao inaondolewa ktk jamii. Media za magahribi na kasuku wao Africa walishambulia na kuuliza maswali yasio ya haki .Km wanavyofanya kwa wapinzani ktk hizi nchi zetu wakidhani wanaokoa roho za fikra maarufu, fikra za mkumbo, dunia nzima fikra za pamoja,fikra maarufu zimethibitika kwamba ni upuuzi na ujinga. Hata ktk mabunge yetu, ktk jamii zetu, fikra mgando,fikra za pamoja na kulindana hazina tena mashiko. Sasa wajenga hoja,wenye kujiamini wanapiga bao.Watasema na kuoingwa kushambuliwa, ila kadiri wanashambuliwa ndivyo ukweli wa matukio unavyozidi jidhihirisha. Mwishowe inakuwa ngumu sana kwa wanafikiri na wafuata mkumbo kukataa hoja
Kwa akili zako finyu za ki CCM utamwita Magufuli radical!! Haha Magufuli anaigiza tu kuwa radical ili kununua akili za wabongo waliovutiwa sana na upinzani!!Naona kwa Tanzania umemtaja JK....je kwa mwaka 2015 kati ya Magufuli na Lowassa nani populist?radicals?...kweli watanzania awamu hii waliepuka unafki wa populist,CCM walichinja populist....ha ha ha.Leo umetoa mawazo kuntu.
Itakuwa salama sana. Wapuuzi wengi waoga sana. Huwa wanakuwa na jeuri wanapoona kuwa wakiongea upuuzi watapata support ya kunyamazisha wengine. Unadhani hili bunge hawa wanywa viroba wa NDIOO pangekuwa na utawala wa sheria kidogo .Tungeshuhudia kufikia kwa huyu waziri kufanya huu upuuzi.Lakini je kwa mkusanyiko huu wa radicals dunia itabaki salama?