Kwamba huyo baba ndiye amemtuma kutuletea GMO Ili tuangamie?Bashe alipata Baraka za baba mtakatifu Papa Francisco anayeketi Kitini pake Mtume Petro
Hawezi kuguswa 🐼
Wanalazimisha kutumaliza Watanzania na Dunia Kwa kutuletea makorokoro!!Na huyu bibi yenu akikubali ujinga huo, atakuwa nitatizo mara 2 ya huyo waziri wake
Jikite kwenye mada,Pamoja na mapungufu yake ya kibinadamu, Bashe anatendea haki kilimo
Tamaa yake imevuka mipaka, baada ya kutuletea sukari yenye ubora hafifu, Leo Hadi GMO anataka kutuletea,Everything has a end.!?
Lala weweee yatosha kwa leo.Bashe alipata Baraka za baba mtakatifu Papa Francisco anayeketi Kitini pake Mtume Petro
Hawezi kuguswa 🐼
Unaishi Dunia IPI? 🐼Kwamba huyo baba ndiye amemtuma kutuletea GMO Ili tuangamie?
Utakatifu Gani huo usiojali AFYA ya Watanzania?
Wamle kichwa tuu analeta mazoea kazini 😆Salaam, Shalom!!
Utulivu kiasi umeendelea kutamalaki mioyoni mwa Watanzania wenzangu baada ya kuondoshwa Kwa waliokuwa mawaziri vijana wa Makamo Nape Nnauye na Yusuph Makamba.
Hivi sasa, amebaki mmoja au wawili watatu kuelekea u haguzi mkuu, Leo tumwongelee mmoja,
Ndugu Bashe baada ya sakata la sukari kutikisa Nchi na kesi zikiwa mahakamani, paliibuka taharuki baada ya Mwekezaji mmoja kudai kuwa mahindi yetu ndani ya nchi anayaongezea madini Fulani fulani, na umma wa wananchi kupinga Kwa nguvu,
Jana tunaarifiwa na Waziri huyu huyu kuwa, Serikali yetu imeridhia matumizi ya GMO kwenye KILIMO chetu, na wanafanya Utafiti Ili kuziruhusu.
Kwamba GMO, yaani mbegu za kupandikiza zisizo halisi, ziruhusiwe kuingia na kutumika nchini tukiwa chini ya waziri huyu huyu Bashe.
Nchi yetu imejitajidi kutunza mbegu zetu za asili kuhakikisha AFYA za wananchi wake zinakuwa salama Kwa miaka mingi sasa, huu ujio wa GMO katika KILIMO chetu, ni threat Kwa AFYA zetu Watanzania, na kwanini mambo hasi yanaendelea kujitokeza chini ya waziri huyu wa kilimo Bashe?
Nikisema waziri Bashe anampa Rais wetu ushauri usio sahihi kuhusu madhara ya GMO Kwa AFYA za Watanzania nitakuwa sijakosea,
Ni ipi Hasa agenda iliyo nyuma ya Waziri huyu?
Je, baada ya Nape na Makamba, nani anafuata kutumbuliwa?
Magufuli,Tanzania tunakukumbuka sana!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni 🙏
Tuko Kwenye sherehe ya kumpongeza Mwenyekiti wetu Mpya wa Serikali ya mtaa 🤣🤣
Kama nawe umeafiki HOJA hii, imeenda hiyo🙏Wamle kichwa tuu analeta mazoea kazini 😆
Hamna lolote bora mfe wote tu ama mtolewe kafara ama muwe watumwa. Hamna mchango wowote duniani. Na mkisoma mnakariri mkishapata vyeti ni kuiba tu.Wanalazimisha kutumaliza Watanzania na Dunia Kwa kutuletea makorokoro!!
Wapi huko? Bunju B?Tuko Kwenye sherehe ya kumpongeza Mwenyekiti wetu Mpya wa Serikali ya mtaa 🤣🤣
Siyo rahisi kama unavyofikiriaWamle kichwa tuu analeta mazoea kazini 😆
Africa ndio kimbilio la Dunia siku zijazo,Hamna lolote bora mfe wote tu ama mtolewe kafara ama muwe watumwa. Hamna mchango wowote duniani. Na mkisoma mnakariri mkishapata vyeti ni kuiba tu.