Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,286
- 271,522
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mjini Arusha, Mrisho Gambo, Ameongea mengi sana.
Lakini liko moja lililowaamsha Wananchi na kuanza kwa minong'ono, Bwana Gambo amewauliza Wananchi kwamba , Nanukuu " Kati yangu mimi na yeye nani kaumiza wengi? " Mwisho wa kunukuu.
Baada ya swali hilo wananchi wakaanza kutazamana huku wakijiuliza huyo mwingine anayesemwa na gambo kwamba kaumiza wengi ni yupi?
Bali kilicho dhahiri ni kwamba Wawili hao (mmoja hatumjui) na Mrisho Gambo wameumiza watu na labda waliwaua pia, lakini wanachoshindana ni Idadi ya waliowaumiza, yuko aliyeumiza wengi na mwingine kaumiza wachache.
Ndio maana tunasema iko siku tutatajiwa hao walioumizwa huku Godbless Lema jina lake likiwa Namba 1