Hahahaha.... khaa!goma la mchuchumio, mwendo wa kusimamia vidole kama unashuka kitonga vile, chezeiya Zinduna weye! ni kama kutaka kuhamia MARS wakati bado umepanga kwa mtogole! heheheiya yangu macho, nipo nimeshafika brake point na thermos yangu kabisa ya uji wa kungu nautia kasi, raha ya kiduku na jicho liwe lege! ebo!
Haya leo jioni saa kumi tukutane pale Break Point tuselebuke KIDUKU mpaka majogoo
Kama tulivyokubaliana jana jioni baada ya msuto wa Bishanga tulipokutana pale ukumbi Malaika kupoza makoo na kuselebuka kidogo kama mnavyomuona hapo, Kipipi, TaiJike, mbalu, Cantalisia, Smile, gfsonwin, cacico, Preta, Aunt Lizzy alikuja mwishoni kabisa na Erotica wakiselebuka KIDUKU.
Leo ndio shughuli yenyewe..............
Dress Code, utakavyopenda.
Asprin una mtindo wa kuja kutuchungulia makalio, nakwambie leo ukitia timu tunakusuta kama mwenzio
KARIA wewe ni KE au ME