Nimeandaa ngoma ya "KILUGWAI" kwenda kumsuta Bishanga

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
IMG_3067.JPG

images


Haya haya Kumekucha, leo saa kumi jioni tunakutana hapa chit chart mida ya saa kumi jioni, nimeandaa ngoma ya KILUGWAI kwenda kumsuta Bishanga , Maandalizi yote yamekamilika, nuimekodi mdundiko kutoka Buguruni kwa Mnyamani, na Matarumbeta kutoka Tandika na pia klutakuwa na ngoma ya Kibao kata.

Kama kawaida, wanawake wote tuvae kanga sampo hiyo hapo juu. mnaweza kuni-PM niwatumie kwa DHL CHAMInglady, Cantalisia, Mamndenyi, cacico, gfsonwin, Kipipi, TaiJike, mbalu, Asnam, Amyner, BADILI TABIA Erotica, The secretary, King'asti, na wengineo, jamani tuungane tumshushue huyu Bishanga maana amezidi sana kwa ukuda na Udaku..

Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Halafu Bishanga mbona ni simpoo tu,
ngoma ya nini ni gharama tu,
ni kupita naye mitaa ya kwa tumbo hapo
tandale uzuri kila kibaraza utakutana na wamama
kama kumi wamekaa tayari kwa kazi hiyo,
nipitie twende naye wote.
 
Namuona Mamndenyi ndio keshavaa Dera lake kwa maandalizi, leo patakuwa hapatoshi hapa!

_Carnival_Parade_arrives_by_Pernille_Baerendtsen_IMG_7113.jpg
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom