Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,597
- 1,868
Habari waheshimiwa mliotukuka saana,mnao akikisha JF inasonga ,
Baada ya kuhakikisha nimevuna maharage yooote,choroko,mboma na alizeti kw mama kijijin sasa nimerudi tena baada ya kutokuwepo kw takriban mwez na nusu..
Kw kweli kuna mambo yalinikera saana huko kijijin hasa swala la NETWORK.!, Kila nilipoitaji kuingia jamii angalau nipata jipya,ilinilazimu kwenda mjini[makao makuu ya wilaya] au kupanda juuuuuuuuu ya kakilima ka kijiji na laptop au simu!! Hizi ni changamoto kubw kw mitandao ya simu kwan idadi ya wa2 ni weng na hudum za mawasiliano ni finyu!
Pia nilibahatika kunywa pombe zetu za kiasili ambazo, kw tafsiri yangu zinaongeza uwezo wa kukumbuka,pia nilikula viazi kama viaz vikuu, ndunyasa,vitamu,miogo n.k hili kuakikisha nikurud mjin niwe strong kupapambana na challange za mjini!!
Nifahari yangu kuona JF inaendelea mbele na wanachama wanaongezeka.
Shukran za pekee kw wadau wote tuliokumbukana kwenye birthday yangu kama LADY FURAHAA,WATU8 NA WENGINE ...!
Pamoja saaaana na JF daima!