Baada ya mkoloni kuondoka Afrika,....

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Tumebakiwa na mabeberu wa kiafrika wanaoshirikiana na mabeberu wa kizungu kutonyanya na kupora maliasilizi zetu na ndio maana Bara hili liko nyuma sana kimaendeleo huku watu wake wengi wakiwa masikini wa kutupwa na ndio sababu pia ya vyama vingi vilivyopigani uhuru katika mataifa mengi ya kiafrika kutokuwepo madarakani leo hii baada ya wananchi kuvitaa.

Hili Bara letu ni shida sana kwakweli.
 
Tutajie hayo mabeberu tuyashughulikie ulete na ushahidi kabisa ili iwe rahisi kudeal nayo
 
Complaining about a problem without providing solution is called Whining- President Theodore Roosevelt.
 
Back
Top Bottom