sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,425
I salute all MMU members,
Nimekuwa nikisoma thread nyingi za mahusiano ya watu kutaka ushauri wa ndoa zao nimegundua kila siku zinavoenda malalamishi ya unyumba yanazidi au tatizo ni kubwa. Wadada na wakaka wengi wamekuja humu kulalamikia mke hamfuikishi tena, amekuwa mvivu hajitumi tena, amekuwa mchafu hajisafishi tena n.k. Na wengine wamelalamika mume kaanza nyumba ndogo, mawasiliano kapunguza, hatutoki tena out, mara siku hizi anapiga bao moja tuu akipiga 2 au 3 anakaa wiki 2 hadi 3 ndo anapiga tena, wengine mume kawa mlevi, wenginemume anatembea na hg, anakimada siku hizi, nyumba ndogo yake inanitukana, mume kawa malaya na malalamiko kibao yanayofanana na hayo.
Pamoja na kuwa kaka Mtambuzi amekuwa akileta mada nyingi za kusaidia kuepusha matatizo kwenye mahusiano bado malalamishi ni kila leo mengine yanajirudia tofauri ni headings tu na ile mtu anakuwa releived akitoa lililo moyoni mwake.
Nilichokigundua mimi kama mimi inaonekana kuwa baada ya mwanamke kuolewa au kuwa kwenye mahusiano na mume/mpenz kwa muda wa miaka 3-5(wengine inakuwa chini ya hapo) wanawake wengi hamu ya kufanya mapenz inaongezeka, yaani kama mkeo alikuwa wakati mko wachumba au baada ya kuoana alikuwa ukimpiga bao mbili au tatu anaridhika akishakaa na wewe miaka 3-5 K yake inakuwa imashaizoea M ya mumewe/mpenz hivyo inachukua muda mrefu kwa yeye kufika orgasm au kuridhika kimapenz. Kama mwanamke anakuwa na sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo ukizishika anakuwa anafika orgasm haraka basi nazo pia huzoea mfano ulikuwa ukimnyonya shingo mkeo au sikioni b4 game ukianzisha game inachukua bao mbili tuu anakuwa chali sasa now anakuwa kama sehemu hizo zimeshatumika au zimezoea ile ashki haipo tena, au labda humshiki kama ulivokuwa unamshika zamani hayo yote yanawezekana. Hapa mwanaume ataona mkewe aidha kawa muhuni haridhiki napenz langu au anatoka nje an huko nje kakutana na M kubwa kuliko yangu basi stress kwa wanaume inaanzia hapo. Na wengi wanaanza kutokujiamini na kuishi kwa kuhisi hisi tuu na kuwa na mashaka.
Vivyo hivyo kwa wanaume wao nao baada ya miaka hiyo ya ndoa anakuwa keshaizoea K ya mkewe mathalan mnakuwa msahzaa watoto 2 au 3 so ile tightness haipo au mama hajitumi tena na huu ndo mwanzo wa kutaka kupata kipya kinyemi, anapofanya hivi si kuwa hampendi mkewe la hasha inakuwa ni kwenye kutafuta orgasm bila kutumia nguvu nyingi. Kumbuka kwa mwanaume huyu pia kufika mshindo inamchukua muda as tangu akilini anakuwa ashamuwazia mkewe/mpenziwe haridhiki na bao mojha ai mbili so anahitaji nguvu nyingi ya kusukuma kwanza mkewe afike kileleni pili na yeye afike. Lishe yenyewe nowdays ni wali kuku, wali samaki, ugali nyama choma hapo wamejitahidi wengine ndo chips mayai/kuku Jan- Dec na wengine ndo kabisaa wanafanya diet ili kutoa vitambi huku wanasahau kuwa wanatakiwa wakifika kwenye kiwanja cha fundi seremala cha 6*6 wanatakiwa wakimbie wakizunguke hadi mwanamke anayeshangilia magoli anaypofunga akose nguvu na sauti ya kushangilia hapo ndo anaweza kulala.
Mimi nafikieri kwa upeo wangui mdogo kupunguza malalamishi ya ndoa kuhusu kuridhishana kimapenz wayaelewe na kuyakubali mabadiliko yanayotokea baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka hiyo na mkewe/mumewe/mpenziwe na kutakiwa kubuni nijia mpya za kuridhishana. Mfano hai ulikuwa ukitaka kumuinamisha mkeo kwa style yoyote kabla hajazaa ulifanya hivo na kufika kunako kirajhisiii sasa anawatoto 3 kwanza kumuinamisha vile kama hujamvunja basi utampa valium kwa kushusha presha itakayokuwa imepanda, maana wamama wanatanuka na kunenepa hali kadhalika baba nae kitambi hiko mama akitaka kukumbatia ziro distance waaapi!!
Wana MMU wenzangu nyie mna kipi cha kuongeza kifanyike kuepuka na kusuluhisha matatizo ya kuridhishana kiunyumba kwa wale walioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 3-5. Nawakilisha.
Ever remaining,
Sakapal.

Last edited by a moderator: